Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wehehe,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kijiko kumpuigia MWANAMKE magoti inabidi umpigie fimboTo propose.... kupiga magoti sio utaratibu wa kiafrika, na kupropose kwa kumvalisha pete ya uchumba sio utamaduni original wa kiafrika. Kwa makabila mengi utaratibu ilikuwa unawatuma
Ni upoyoyoWakuu natumai wazima wa afya, poleni na majukumu.
Nije direct kama mada inavyo jieleza, mara nyingi nimekua nikishuhudia hafra ya kuvisha pete ya uchuma mwanaume kupiga goti chini tofauti na pete ya ndoa makanisani.
Ni utamaduni wa kiafrika,,? Ni imani za kidini,,?
Msaada kwa wajuzi wa haya mambo ,, kuna binti wa mtu kanikalia kooni kuhitaji nimvishe pete ya uchumba nisije umbuka [emoji4]
MEK_TZ
[emoji16][emoji16][emoji16]wazee wa uvinza kupiga magoti nayo kazi kwani!!!? Kama ukiwa unachimba makinikia mgodini unapiga iweje kwenye kumvesha pete ikusumbue ujeuri tu na ujuaji me sijapenda kabisa nyenyekea umpate mtoto mzuri huyo . kwani hujui wanawake wanapenda kuwaweka wanaume kiganjani akucontol kwa kila kitu alafu awatambie shoga zake yule baba flani hizo kelele zake ni huko nje kwangu hakohoi[emoji2][emoji2]!!
[emoji2][emoji2]Huu huwa ni Uzombie, na hufanywa na Mazombie [emoji23][emoji23]
Si utamaduni wetu huu waafrika.
Hata anayepigiwa magoti nae kimoyomoyo anakuwa anakuona mpiga magoti "zuzu"Kumpigia goti mwanamke wakati unamvisha Pete n utumwa.
Umemkabidhi madaraka
N mwanaume usiyejiamini
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app