Vijana wa kisasa huwa wanafanya mambo bila kujua hayo mambo au matendo ni ishara au codes kumaanisha jambo. Kwa kifupi ni wachache sana huwa wanajua maana ya hiyo kitu. Ila nitawalezea.
Mwanaume kupiga goti ni utamaduni wa tokea enzi za falme za huko barani ulaya miaka ya akina malkia (Medieval era)
Katika utamaduni wale vijana maaskari au wajeda walikuwa wakienda vitani na kurejea salama baada ya mapigano ya muda mrefu wakifika katika miji yao na kukuta wale mabinti waliokuwa wakiwataka au kuwapenda bado ni bikra na hawakuwahi ingiliwa wala kufanya mapenzi au kuwa na mahusino na mwanaume mwingine yoyote then hii ilikuwa inachukuliwa kama ni ishara ya mwanamke kuwa msafi wa nafsi na muaminifu au kwa English wanasema mwanamke huyu ni very Loyal kwa huyu mwanaume.
So kwa heshima huyu mwanaume anampigia goti huyu mwanamke mbele ya umati na kuomba ridhaa ya kumuoa na kupewa nafasi ya kuitwa bikra ile na heshima yake.
Na jambo la ziada mjue. Mwanamke ambae alikuwa proposed akiwa katika katika hali ya ubikra yaani alikuwa na bikra then huyo ndio anastahili kuvaa shela Jeupe kuashiria usafi wa nafsi katika ndoa na ndio maana shela hufunikwa na wavu kama ishara ya mwanaume kumfunua huyu mwanamke na kuanza nae maisha.
Sasa miaka hii unakuta demu limepigwa pumbu na washkaji hadi basi we unapiga goti kukaribisha minuksi kwenye uzao wako. Anavaa shela Jeupe huku ndani kashamwagiwa shahawa na vidume lukuki, keshatoa mimba mara kadhaa, kesha nyonya midudu kibao, we unapiga goti na kulia michozi fala kabisa.
Huyo ulitakiwa pete aivae mwenyewe tena akaichukulie kwa sonara.
Sent using
Jamii Forums mobile app