Kwanini mwanaume anapiga goti anapomvisha pete ya uchumba binti?

Sio wote mkuu
 
Ni ujinga wa kuiga tu
 
Inayegemea ni mwanaume wa kabila gani. Mkurya na mkwere hawawez kufanya sawa
 
daaaah, kuna limbukeni mmoja alifanya huu ufashikuna na mind hadi leo
 
Ule ni ujinga tu, unampigia magoti mwanamke ili iweje sasa?
 
Habari za mda huu. Juzi nasikiliza wasafi fm kipindi ya alfajiri ilitokea mada kuhusu usawa wa mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mwanamke au ni mwanamke ndo apige goti?

Sioni kama ni sawa mwanaume kupiga goti hasa mila za kiAfrika. Au ndo uzungu umezidi siku izi?
 

Anayeenda kuomba uchumba ni mwanaume so kupiga goti ni kama ishara ya kuomba

Hata hivyo inategemea makubaliano yenu ni nani apige,unaweza kupiga ama akapiga yeye ama mkasimama wote
 
Kama mila zenu zinaruhusu mwanaume kumpigia magoti mwanamke ni sawa tu. Ila mm siwezi maana ni kinyume na taratibu za nyumbani kwetu.
Pia kwa tamaduni na mila za nyumbani hatuna kitu kinachoitwa pete ya uchumba ila tuna kishika uchumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…