Ningekinukisha hapo hapo ukumbini.Halafu unakuta huyo kijana wa kiume eti anajiliza hadi midomo inatetemeka!Ni nini hiyo sasa?ππππ
Nimeivuta picha.Na ambavyo akina mama wa Kiafrika hawapendi watoto wao wa kiume wajidhalilishe mbele ya jamii,sijui ingekuwaje hapo!Ningekinukisha hapo hapo ukumbini.
Si unajua drama za Black Women ?
Hizi hizo tena na accent ya Ki Nigeria.
Tunaepuka shari mapema kwa kuwapa watoto wetu malezi ya kiume.Nimeivuta picha.Na ambavyo akina mama wa Kiafrika hawapendi watoto wao wa kiume wajidhalilishe mbele ya jamii,sijui ingekuwaje hapo!
Shukrani sana.Kama mwanakamati,naomba sauti iwe ya juu zaidi.Maana hawa vijana wetu usikivu na utendaji wa kimaadili upo chini.Tunaepuka shari mapema kwa kuwapa watoto wetu malezi ya kiume.
Wajijue kwamba wao ndo kiumbe superior chini ya jua hawapigi pigi goti ovyo labda kwa Muumba wao.
Cha kushangaza utakuta Baba na mama nao wako kwenye tukio wakishuhudia kijana wao tena mtu wa gym akipiga magoti mbele ya mdada...Tunaepuka shari mapema kwa kuwapa watoto wetu malezi ya kiume.
Wajijue kwamba wao ndo kiumbe superior chini ya jua hawapigi pigi goti ovyo labda kwa Muumba wao.
Mimi nikija kuvishwa pete ntapiga mimi goti
Kosa kubwa.Tusiwaache vijana wakajifanyia tu mambo yao hovyohovyo.Filamu zinawaharibu.Tujipe muda wa kukaa nao na kuwapa miongozo mizuri.Na rehearsals nyingi ili wasilete aibu!Cha kushangaza utakuta Baba na mama nao wako kwenye tukio wakishuhudia kijana wao tena mtu wa gym akipiga magoti mbele ya mdada...
Yeaaaah ni kweli haswaaaah.Mimi nikija kuvishwa pete ntapiga mimi goti au akiniwahi basi ni bora tupige wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km kawaida yako, kupiga panapouma lolVijana wa kisasa huwa wanafanya mambo bila kujua hayo mambo au matendo ni ishara au codes kumaanisha jambo. Kwa kifupi ni wachache sana huwa wanajua maana ya hiyo kitu. Ila nitawalezea.
Mwanaume kupiga goti ni utamaduni wa tokea enzi za falme za huko barani ulaya miaka ya akina malkia (Medieval era)
Katika utamaduni wale vijana maaskari au wajeda walikuwa wakienda vitani na kurejea salama baada ya mapigano ya muda mrefu wakifika katika miji yao na kukuta wale mabinti waliokuwa wakiwataka au kuwapenda bado ni bikra na hawakuwahi ingiliwa wala kufanya mapenzi au kuwa na mahusino na mwanaume mwingine yoyote then hii ilikuwa inachukuliwa kama ni ishara ya mwanamke kuwa msafi wa nafsi na muaminifu au kwa English wanasema mwanamke huyu ni very Loyal kwa huyu mwanaume.
So kwa heshima huyu mwanaume anampigia goti huyu mwanamke mbele ya umati na kuomba ridhaa ya kumuoa na kupewa nafasi ya kuitwa bikra ile na heshima yake.
Na jambo la ziada mjue. Mwanamke ambae alikuwa proposed akiwa katika katika hali ya ubikra yaani alikuwa na bikra then huyo ndio anastahili kuvaa shela Jeupe kuashiria usafi wa nafsi katika ndoa na ndio maana shela hufunikwa na wavu kama ishara ya mwanaume kumfunua huyu mwanamke na kuanza nae maisha.
Sasa miaka hii unakuta demu limepigwa pumbu na washkaji hadi basi we unapiga goti kukaribisha minuksi kwenye uzao wako. Anavaa shela Jeupe huku ndani kashamwagiwa shahawa na vidume lukuki, keshatoa mimba mara kadhaa, kesha nyonya midudu kibao, we unapiga goti na kulia michozi fala kabisa.
Huyo ulitakiwa pete aivae mwenyewe tena akaichukulie kwa sonara.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cha kushangaza utakuta Baba na mama nao wako kwenye tukio wakishuhudia kijana wao tena mtu wa gym akipiga magoti mbele ya mdada...
Baba yako na mama yako bila shaka wanakupenda sana. WAMESHAKUPIGIA MAGOTI MARA NGAPI ?!! (Vijisichana vya kileo ni mbuzi hamna akili)Kupiga magoti ni ishara tu ya upendo [emoji4], na si kama wanaume wengi wanavyodhani [emoji18][emoji18]
Ubarikiwe wewena mumeo mtarajiwa, hakika atakua kapata mke mwema.Mimi nikija kuvishwa pete ntapiga mimi goti au akiniwahi basi ni bora tupige wote
And thats how it ought to be. Musculinity all the fucken way hata Mungu ni Mungu baba hakunaga Mungu mama au Mungu shangazi, so yo all stupid feminists sit tight bitches.Toxic Masculinity in full display here.