Hii ni ujumbe wenu M'simp a.k.a second hand handler, a.k.a Step fathers, a.k.a ma'sponsors, a.k.a mubaba almaarufu Mabushoke.
Awali ya yote kwa utangulizi, niseme kwamba "a modern woman is loyal to her feelings only", yaani kwa kiswahili ni kwamba ni sawa na kusema, "Mwanamke wa kisasa mwaminifu/mtiifu kwa hisia zake tu. Lolote analofanya ni matokeo ya namna anavyojisikia na matendo yake ni matokeo ya hisia zake tu.
Kwahiyo ukiona mwanamke amesaliti mahusiano/ndoa au ametoa ujauzito, au kafanya baya lolote then fahamu ni matokeo ya kutii hisia zake zinamwambia nini. Ndio maana unaweza mfanyia mazuri yote, ukamsomesha,ukamtafutia kazi,ukamsapoti kujenga nyumba zake na hata kuwa na biashara kubwa ila mwisho wa siku akaamua kukubadilikia na kuwa adui na kutafuta mtu mwingine wa kufanya nae mahusiano.
Hii ndio sababu mimi kutwa kuchwa nipo hapa Jamiii Forum na nyuzi ambazo zinakuwa kinyume na matarajio ya wanawake vile wanapenda kupetiwa na uongo na pia nina kinzana na wanaume wanaolamba miguu ya wanawake hao hao. Kwakifupi sicheki na nyani na sitambui mfumo wa kusikiliza mwanamke anataka kitu gani bali nitamsoma akili yake na matendo na atashangaa nimekuja na maamuzi ya tofauti yasiyohitaji kushauriana nae wala kuyabadilisha. Akitaka aache tukorofishane au afanye twende sawa. Na pale nikiona anafanya sawa sawa au sahihi,huwa sitii neno na akihoji nitamwambia kwanini nimpongeze kwa kuwa muwajibikaji na majukumu yake?
Tukirejea kwenye mada kuu, kwanini mwanaume anayeamua kuwa na single mother anajitengenezea sintofahamu siku za baadae. Sababu ni kama zifuatazo:
1. Single mother ni mwanamke ambaye ana mgogoro na mzazi mwenza. Tofauti zao mara nyingi huwa zipo eneo la uhusiano wao kukaranganyika na mtoto kushindwa kuwaunganisha eneo la kumlea. Wewe unaingia kubeba jukumu la malezi na kuwaondolea ugomvi na ndio maana muda huo wote atakuwa mtii sababu hisia zake zinamwambia kutulia umrubuni huyu fala usaidiwe kulea mtoto ambaye mzazi mwenza ameshindwa. Huku nje wewe unaona unapendwa kuliko baba wa mtoto kumbe mwenzako ana ajenda.
2. Mwanamke yoyote ukikuta amezaa na mwanaume kwa mara ya kwanza fahamu kuwa alimkubali huyo mwanaume kama ndie chaguo la kwanza na hadi kuzaa nae ina maana hakutaka mtu mwingine. Hata wakishindwana baada ya kupata mtoto nae trust me bado anampenda moyoni ni vile tu mambo hayajakwenda sawa,angetamani alale aamke iwe ndoto tu ila mwanaume asiwe na changamoto wajenge familia yao.
3. Wewe utakapokutana nae atakuonyesha anamchukia sana jamaa na hataki kumuona kabisa na anaweza mtukana mbele yako ila unajua kinachoendelea kichwani na akilini mwake? Amchukie mtu aliyempa mji wake wa uzazi wachanganye Damu na kupata copy yake? Ipo hivi, hisia zake hapo muda huo zinamwambia awe na hasira na jamaa sababu hakumpa heshima ya mke na mama mtoto ila hamchukii. Hasira zikiisha nini kinabakia wadhani zaidi ya hisia kumwambia huyo jamaa uliye na hasira nae ndie amekupa watoto ukimchukia watoto watakuelewaje, halafu unamchukiaje mtu ambaye ulimkatikia kiuno mkazaa? Unakumbuka namna alivyokuwa juu yako anaichomeka na kuichomoa? Hizi hisia mwanamke hawezi zikwepa na atakuwa mtumwa wa kuzisikiliza na kuzitii hata iweje.
4. Utalea mtoto na kumtreat vema kipindi akiwa anahitaji hiyo sapoti hisia zake zitamwambia huyu ndie anakufanya uwe na amani na utulivu kwa sasa. So msikilize na ukubali kila anacho kwambia ufanye ili usipoteze huu msaada. Akitokea mwanaume mwenye uwezo kukushinda na akataka kukupora hisia zitamwambia apige hesabu zake vema kama mtu mpya atampa zaidi yako. Mfano, akatokea mtu amjengee nyumba na kumpa mtaji wa biashara mpya itayomlipa na kumpa uwezo wa kiuchumi, 99% utaanza kushudia dharau za ajabu na ndipo utaelewa huu uzi ulibeba maudhui gani. Atakuacha bila kutumia nguvu yoyote wala kujifikiria.
5. Ukimaliza kazi ya kulea watoto na wamekwisha jitegemea then jitihada za kukubagua huanza mara moja ili kutengeneza mazingira ya kutengana mgawane mali akaishi na watoto wake kwa amani. Hana haja ya kukutii tena na tayari mission imeshakamilika watoto wameshakuwa wakubwa hawahitaji sana sapoti yako. KIchwani wewe utakuwa mtu wa ziada tena ambaye hakuhitaji sana. Kama anaweza mtoa baba watoto kwa watoto wake halali wewe ni nani akuweke karibu nao na si damu yako. Unadhani wakianza maisha yao wakajitegemea atawaambia waje kukusalimia,wewe ni baba yao kwani?
Anyways,kwa kufunga tu, tunasisitiza kuwa na bikra sababu huwa tayari akili na hisia zake humwambia wewe ndio namba moja wake, akifanikiwa kukuzidi sehemu ya mwili wake itakataa kukuacha sababu wewe ni sehemu ya mfumo wake wa fahamu nje yako hakuna ukweli mwingine. Atakuwa mjeuri ila ukimtuliza atatii na kufuata maelekezo yako namna unabembeleza, uwe tu haujui kubembeleza mwanamke. Hawa used products tunaokutana nao, kichwani hisia zinabeba kumbukumbu za wanaume tofauti ndio maana anakuheshimu tu ukimpa mahitaji yake na akishapata chanzo kipya unageuka kuwa hussen machozi kulilia akupe utulivu na amani wakati yeye ana mipango mingine kabisa.