Kwanini mwanaume anayeamua kuwa na single mother anajitengenezea sintofahamu siku za baadae

Uko sahihi.
Hata mimi kwa sasa naamini kuwa mwanaume anapaswa kuoa bikra, maana ni suala la kiroho, zamani nilikuwa nabisha ila kwa sasa sibishi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yamekukuta nini mzee?
 
Naunga mkono HOJA.....

Unajitoaje kulea kwa nguvu zote na kusomesha kwa gharama kubwa mtoto ambaye si WAKO eti kwa ajili ya kumfurahisha mama yake ?!!

Huna kizazi na umeamua kuifanya damu ya mwingine kuwa ni yako ?!!

Kama ni kujitolea kiubinadamu basi ni bora tujitolee kwa watoto yatima walioko ndani ya familia zetu ama wasioko lakini tusio na uhusiano wa kimapenzi na MAMA ZAO.....


#Ndimi Alpha male !
 
Not true!
Niko na mtu wa namna hiyo for 10 years now maisha ni peaceful sana kuliko hao mnaosema mmepewa na Mungu binadamu asiwatenganishe
 
Not true!
Niko na mtu wa namna hiyo for 10 years now maisha ni peaceful sana kuliko hao mnaosema mmepewa na Mungu binadamu asiwatenganishe
Huyo Single mother katulia sio
 
Huyo Single mother katulia sio
Kuna watu walijitenga na waume zao kwasababu ya tabia za hovyo za wanaume husika, kuna watu ni single mothers walifiwa na waume zao, kuna wanawake ni single mothers walirubuniwa na wanaume au maboss wao, wamejifunza kutokana na makosa wanarejea kuishi kwa umakini sana na wanayashepu maisha kuliko hao wakubandikwa na makasisi
 
Not true!
Niko na mtu wa namna hiyo for 10 years now maisha ni peaceful sana kuliko hao mnaosema mmepewa na Mungu binadamu asiwatenganishe
Muda ndio utakupa jibu unalostahili. Unadhani wale wazee wanaoteseka uzeeni na walijitoa kwa familia zao kipindi wana nguvu zao vizuri unadhani walitaka tu.
 
Endelea kuwa dhaifu kwa faida yako ila usitake kupotosha kizazi cha watoto wa kiume kuishi kwa formula yako ya kindezi ya kushikamana na masingle mother.

Wewe kama kwako ni sawa kuwa na mwanamke mwenye watoto tayari ni wewe ila usivalishe kila mtu huo upuuzi.
 
Wazazi wa kijana anaeoa single mother, huwa na huzuni sawa sawa na ya msiba wa kijana wao pindi waskiapo kijana wao ansoa mwanamke alitetumika
 
Sikupingi ila wanawake bhana wana mushkeri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…