Ray 4 real
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 801
- 764
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sàa 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby, akajibu sichelewi mama, akawa amerudi mida ya sàa 3 kasoro hivi.
Sasa jana asubuhi wakati nacheck kwenye suruali yake nikakuta risiti kuisoma nikakuta ni gest house na amount ambayo amelipia muda ambao alilipia ilikuwa sàa 12.5 jioni yaani exact same time aliotoka home na hapo tulikuwa tumetoka kuhit kitu cha morning glory ile tuna furaha gafra furaha yangu ikageuka huzuni.
Kumfuata kumuuliza ananiambia sio yake alimuomba boda ampe karatas aandikie baadhi ya vitu sasa hakujua kama ni ya gest, nikasema naomba simu niangalie uliowasiliana nao huo muda sikukuta mtu na huyo rafiki alosema anaenda kwako it seemed hawajatafutana kitambo maana kwenye call record wala sms hayupo.
Nikamuuliza huyo rafiki yake uliendaje bila kuwasiliana akasema mm huwa nafuta baadhi ya vitu kwenye simu nitakuwa nimefuta, ikabidi tu ninyamaze na nikainua mikono[emoji119][emoji119][emoji119].
Sasa wanaume kwann ukatae wakati kitu kipo wazi?? Sasa hamjui yaani ukikubali na ukmuomba mwenzio msamaha ni rahis kusamehe na kusahau kuliko kukataa ,unapokataa unampa uchungu kwenye moyo wake na mapenzi yanapungua siku baada ya siku..