Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 na ukifua pia huangalii mifukoni mwa suruali?Nimejifunza mengi kutoka KWA mama aliniambia mwanaume hakaguliwi wala kuchungwa ukiwa unakula unashiba na watoto wanakula na kushiba na wanasoma inatosha
Tatizo mkiombwa msamaha ndo inakuwa reference kwa kila kosa huko mbele ya safariHabari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sàa 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby,
Mazoea ndo tatizo. Ukiwa unachiti kuna siku utashikwa tu hata uwe na ujanja kama ajenti wa Mossad.Katika vitu ambavyo hua sielewi, ni mwanaume ALIEOA kudiriki kurudi nyumbani na VIDHIBITI! Hicho ni kiwango cha juu kabisa cha negligence huyo mtu anatakiwa afungwe jela.
Yaani kuna watu ni wazembe kupitiliza. Hiyo risiti ya guest kulikua na umuhimu gani wa kuiweka mfukoni? Watu mara wanarudi nyumbani na condom, kuna mwamba amewahi kudakwa na VUMBI LA KONGO na mkewe wakati katoka safari...!! Ma meseji unarudi nayo nyumbani ya kazi gani..?? 😡😡
Ndio maaana mpaka sasa uko nae..ukikubari kosa maana unanyongwa mpaka kufa!!Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sàa 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby,
litaisha tu hilo itabaki history...ila utasema labda kweli bodaboda...lkn aseme katoka kumnyandua mtu...daaah unamwmwaga...na kesi juu na kila kitu kinaisha bora ubaki 50/50.And then what? Sasa hajui upendo ndo unakuwa unapungua kwa style hiyo?
Naangalia KWA lengo la kufua mifuko tu ILA siyatafutagi kabisaa sitaki kufa KWA presha mimi [emoji1787][emoji1787]najijua mwenyewe ndio maana nayaepuka[emoji23][emoji23][emoji23] na ukifua pia huangalii mifukoni mwa suruali?
Sikagui sana, simfatilii kihivyo ila siku moja moja lazima nimshutue na ugomvi wa hapa na pale ‘ ule wa kuusaka mwenyewe…
Mama yako ana akili kubwwa sana. Ngoja nije nikuwoweNimejifunza mengi kutoka KWA mama aliniambia mwanaume hakaguliwi wala kuchungwa ukiwa unakula unashiba na watoto wanakula na kushiba na wanasoma inatosha
🤣🤣🤣🤣 Huyo jamaa ni muongo...aliondoka na condom akiogopa mwanamke atamroga 🤣🤣🤣🤣🤣Mazoea ndo tatizo. Ukiwa unachiti kuna siku utashikwa tu hata uwe na ujanja kama ajenti wa Mossad.
We unashangaa risti ya lodge? Kuna bro mmoja alishikwa na mkewe na likondomu libichi. Imagine used condomu imo kwenye plastic mfukoni mwake. Amefika home anatoa sijui hela ampe mkewe used condom likadondoka. Tukawa tunamuuliza used condom uliweka ya nini mfukoni? Oooh ilikuwa niitupe nadhani nilisahau....
Kama hutaki kushikwa na kuleta maumivu kwa mkeo don't cheat. Ukichiti itafika mahali utakuwa complacent na utashikwa tu maana hakuna namna 😁😁😁