Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Amini na kuambieni Mwanaume hata ukikutwa juu ya kifua na unamwagia ndani , hutakiwi kukubali ni kukataa tuu.. hawa viumbe ukiwa mkweli umekwisha mwanaume mwenzangu... .kataeni kadiri muwezavyo mtakuja kunishukuru....
Noted
 
Kwahiyo ukikutwa kifuani utadanganya kwamba ulijikuta tu ghafla Upo pale au?
 
Mazoea ndo tatizo. Ukiwa unachiti kuna siku utashikwa tu hata uwe na ujanja kama ajenti wa Mossad.

We unashangaa risti ya lodge? Kuna bro mmoja alishikwa na mkewe na likondomu libichi. Imagine used condomu imo kwenye plastic mfukoni mwake. Amefika home anatoa sijui hela ampe mkewe used condom likadondoka. Tukawa tunamuuliza used condom uliweka ya nini mfukoni? Oooh ilikuwa niitupe nadhani nilisahau....

Kama hutaki kushikwa na kuleta maumivu kwa mkeo don't cheat. Ukichiti itafika mahali utakuwa complacent na utashikwa tu maana hakuna namna 😁😁😁

Amna ni uzembe tu mkuu. Haiwezekani mtu ambae yuko makini abebane na marisiti sijui ma kondom ya gesti wakati hayakusaidii chochote. Mimi nikienda guest kila kitu naacha humo humo. Meseji zote futa immediately usiseme ntafuta baadae au nikifika huo ni uzembe.
 
Kasema bora akatae kuliko kuthibitisha kwa mdomo wake..!! Unakuta mwingine akishathibitisha bado kuondoka hawezi..!! Sa si bora adanganywe tu apate sababu ya kutoondoka, kuliko umepata sababu ya kuondoka halafu huwezi ondoka
Mwanamke yeyote unayemfanyia hivo na haondoki usijione unapendwa anawazia watoto wake tu lkn wewe haupo moyoni tena
 
Katika vitu ambavyo hua sielewi, ni mwanaume ALIEOA kudiriki kurudi nyumbani na VIDHIBITI! Hicho ni kiwango cha juu kabisa cha negligence huyo mtu anatakiwa afungwe jela.

Yaani kuna watu ni wazembe kupitiliza. Hiyo risiti ya guest kulikua na umuhimu gani wa kuiweka mfukoni? Watu mara wanarudi nyumbani na condom, kuna mwamba amewahi kudakwa na VUMBI LA KONGO na mkewe wakati katoka safari...!! Ma meseji unarudi nayo nyumbani ya kazi gani..?? [emoji35][emoji35]
Njia ya muongo ni fupi
 
You want the truth but can you handle the truth?

Ukikubali tu msururu wa maswali yasiyo na kichwa wala miguu ndo unaanza:

Kwa nini Baba Jesika? Why? Nakupa kila kitu jamani? Why? Au ni mtamu kuliko mimi? Ana nini ambacho mi sina?

Halafu pisi uliyochiti nayo yaweza kuwa mbovu kichizi haimfikii mkeo kwa uzuri hata robo. Kichwa mwanaume kinakuwaka moto unaishia kujiinamia tu huku yeye akiendelea kubwabwaja....

Men!
[emoji2][emoji2][emoji2]et mtamu kuliko mm
 
Tatizo mkiombwa msamaha ndo inakuwa reference kwa kila kosa huko mbele ya safari
Bora kukataa tu mambo yasiwe mengi
Mbona hiyo nayo ni reference tosha hata kama ulikataa
 
Mazoea ndo tatizo. Ukiwa unachiti kuna siku utashikwa tu hata uwe na ujanja kama ajenti wa Mossad.

We unashangaa risti ya lodge? Kuna bro mmoja alishikwa na mkewe na likondomu libichi. Imagine used condomu imo kwenye plastic mfukoni mwake. Amefika home anatoa sijui hela ampe mkewe used condom likadondoka. Tukawa tunamuuliza used condom uliweka ya nini mfukoni? Oooh ilikuwa niitupe nadhani nilisahau....

Kama hutaki kushikwa na kuleta maumivu kwa mkeo don't cheat. Ukichiti itafika mahali utakuwa complacent na utashikwa tu maana hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi huwa mnajua maumivu mnayotusababishia?? Huwa hayaelezeki
 
litaisha tu hilo itabaki history...ila utasema labda kweli bodaboda...lkn aseme katoka kumnyandua mtu...daaah unamwmwaga...na kesi juu na kila kitu kinaisha bora ubaki 50/50.
Hakuna cha boda mkuu hiyo kwenye moyo wangu nishaamini ni yeye maana ushahidi upo
 
Nimejaribu kufikilia sana, Kulingana na maelezo yako.NI KWELI KABISA HIYO RISITI NI YA BODABODA.Yaani niende kando niombe na risiti tena niweke mfukoni!!!! AMINI ULICHOAMBIWA.
Na huyo rafiki aloenda kumuona hawajawasiliana kwenye cm wana muda aliendaje bila mawasiliano?
 
Binafsi hata mimi unifume yani Fumanizi live,Nakukatalia sikua mimi

wanaume binafsi mimi sijaumbwa kukubali kosa,we fanya ujuavyo elewa

kwamba mimi ni malaika na sikosei na kikosea ni bahati mbaya tu,labda tunatiane

ndio utakua umenishinda ila kama hatujanatiana asee hamna kesi ntashndwa ipangua.
na huo ndo uanaume nami hapa mwanamke naruka futi mia sembuse mwanamme

Sent from my CAM-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Amna ni uzembe tu mkuu. Haiwezekani mtu ambae yuko makini abebane na marisiti sijui ma kondom ya gesti wakati hayakusaidii chochote. Mimi nikienda guest kila kitu naacha humo humo. Meseji zote futa immediately usiseme ntafuta baadae au nikifika huo ni uzembe.
Kama hutaacha kuna siku utashikwa tu tena kizembe kweli kweli. Mark my words. Na pengine utakumbuka maongezi haya na kuishia kucheka tu 😁😁😁
 
Back
Top Bottom