Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Kama hutaacha kuna siku utashikwa tu tena kizembe kweli kweli. Mark my words. Na pengine utakumbuka maongezi haya na kuishia kucheka tu 😁😁😁
Kushikwa labda itokee tu bahati mbaya kama alivyosema mtu huko juu, labda mmenatiana πŸ˜€ Lakini sio eti unadakwa kwa kitu cha kizembe namna hiyo.
 
Mimi bora akatae tu hivohivo kuliko anithibitishie kwa mdomo wake kuwa kanicheat hiyo itaniuma sana na sitasahau kabisa.Sasa hiyo itapelekea mapenzi yapungue.
Hata kama najua kafanya na ushahidi upo lakini akate tu ila akikubali amenimaliza kabisa.
Sijui kwa wenzangu ila mimi akatae tu
Naomba uniruhusu nikujengee sanamu lako pale nyuma ya makumbusho 😊😊
 
Me nilikuwa nimelala naamshwa na mtu analiaa nikajua huyu ameshayakanyagaa.. kashika simu analiaaa kukuuliza anasema toa password kuna kitu nimeona kwenye simu yako me nikasema kitu gani akasema msg ya mwanamke wako...

Aisee kufungua yule manzi akanyanganya simu akasema sii hii apa ananipa niisome nikaifutaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nkaanza kumuuliza iko wapi?? Manzi anachukua simu nishafutaa alilia balaaa me nikawa namwambia wew unaota labda...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anyway aliishia kunipiga tuvibao twa hasria nikamtuliza tukalalaa asubuhi nikamuwekaaa haswaa kesi ikaishaa...
 
Mimi bora akatae tu hivohivo kuliko anithibitishie kwa mdomo wake kuwa kanicheat hiyo itaniuma sana na sitasahau kabisa.Sasa hiyo itapelekea mapenzi yapungue.
Hata kama najua kafanya na ushahidi upo lakini akate tu ila akikubali amenimaliza kabisa.
Sijui kwa wenzangu ila mimi akatae tu
Ubarikiwe [emoji120] kwakweli na sisi hatutoacha kukataa
 
Me nilikuwa nimelala naamshwa na mtu analiaa nikajua huyu ameshayakanyagaa.. kashika simu analiaaa kukuuliza anasema toa password kuna kitu nimeona kwenye simu yako me nikasema kitu gani akasema msg ya mwanamke wako... Aisee kufungua yule manzi akanyanganya simu akasema sii hii apa ananipa niisome nikaifutaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nkaanza kumuuliza iko wapi?? Manzi anachukua simu nishafutaa alilia balaaa me nikawa namwambia wew unaota labda...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anyway aliishia kunipiga tuvibao twa hasria nikamtuliza tukalalaa asubuhi nikamuwekaaa haswaa kesi ikaishaa...
[emoji119] legend
 
Kah
 
Hiyo ni situation nyingine Mkuu.
Nimezungumzia hii iliyoletwa hapa.
Halafu kuona live na kuhisi bila uhakika ni tofauti.
Ilimradi tu sijamkuta akatae tu.
Naijua nafsi yangu ndio mana nikajizungumzia mimi
Kwahiyo ukikuta mambo meusi humuulizi? na kama utamuuliza ili iweje wakati unataka kudanganywa?
 
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?

Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sΓ a 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby, akajibu sichelewi mama, akawa amerudi mida ya sΓ a 3 kasoro hivi.

Sasa jana asubuhi wakati nacheck kwenye suruali yake nikakuta risiti kuisoma nikakuta ni gest house na amount ambayo amelipia muda ambao alilipia ilikuwa sΓ a 12.5 jioni yaani exact same time aliotoka home na hapo tulikuwa tumetoka kuhit kitu cha morning glory ile tuna furaha gafra furaha yangu ikageuka huzuni.

Kumfuata kumuuliza ananiambia sio yake alimuomba boda ampe karatas aandikie baadhi ya vitu sasa hakujua kama ni ya gest, nikasema naomba simu niangalie uliowasiliana nao huo muda sikukuta mtu na huyo rafiki alosema anaenda kwako it seemed hawajatafutana kitambo maana kwenye call record wala sms hayupo.

Nikamuuliza huyo rafiki yake uliendaje bila kuwasiliana akasema mm huwa nafuta baadhi ya vitu kwenye simu nitakuwa nimefuta, ikabidi tu ninyamaze na nikainua mikono[emoji119][emoji119][emoji119].

Sasa wanaume kwann ukatae wakati kitu kipo wazi?? Sasa hamjui yaani ukikubali na ukmuomba mwenzio msamaha ni rahis kusamehe na kusahau kuliko kukataa ,unapokataa unampa uchungu kwenye moyo wake na mapenzi yanapungua siku baada ya siku..
Angekubali pia ungelalamika anachepuka alafu haoni hata aibu anakufungukia ni kweli
 
Wanauwe uwa hawakubali hata iweje me wangu alikuwa anagoma na panic juu nikamuacha siku moja kajichanganya kwa mke wa mtu wakafumania kapewa kipondo Cha mbwa mwizi mpaka wafike polic yupo chakari hajielew binafsi nilitaman wangekata ata pumbu tuu maan tunawatoto 3 ila hajari Wala nn
 
Makosa mengine naweza kukubali ila la kucheat hata unikute ndo naisasambua mbususu nitakataa tu "kua huoni hata mjegeje haujasimama nilikua sifanyi kitu"
 
Wewe unalazimisha akubali kitu ambacho sio kweli, wanawake mnashangazaga sana πŸ˜† kwahio aseme kweli alienda kugonga ili uangue kilio kuwa kakosa nini kwako?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?

Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sΓ a 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby,
 
Mwanaume kamili sifa ya kwanza usikubali makosa kwa mkeo kizembe, yani kama Gwajima vile ni mkonno wa baunsa sijui photoshop na mkewe akakiri mbele ya camera anampenda mumewe wala haina shida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Mwanaume kuomba omba msamaha ni udhaifu, mi nilishageuzaga story na nilifumwa red handed. Hahahaha yani siku hio nguvu ziliisha connection ya ubongo na mdomo ilikuwa 0...Nilikuja kupangua hilo kwa namna ya ajabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata ukimkuta anamwagia ndani Bora akatae tu eti?
 
Eeh
Mimi bora akatae tu hivohivo kuliko anithibitishie kwa mdomo wake kuwa kanicheat hiyo itaniuma sana na sitasahau kabisa.Sasa hiyo itapelekea mapenzi yapungue.
Hata kama najua kafanya na ushahidi upo lakini akate tu ila akikubali amenimaliza kabisa.
Sijui kwa wenzangu ila mimi akatae tu
Hii ndio tabia ya mwanamke halisi, japo unajifanyaga kukomaa uambiwe ukweli ila ukweli huwa mchunguπŸ˜‚
 
Back
Top Bottom