Ray 4 real
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 801
- 764
- Thread starter
-
- #221
We unachekesha kweli kwahiyo hata kama kuna hela au karatas ambayo ni ya muhimu je?Af mambo ya kukagua kagua waume zenu mtakuja kuiona dunia chungu kwa ujinga wenu..
Acha kumkagua mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kosa lake afu nijitathmini mm?Mshukuru Mungu mume wako ndiyo amenza, angekuwa aluwatan hiyo risiti usingeiona. Mungu amekuonyesha ili ujitathmini wewe mwenyewe wapi unakosea.
Kwahiyo unajimwambafai kwamba mkeo alikuamini? Kama mna watoto she's there bcoz of themMimi nilioshawahi kufumaniwa Live chumbani (chumba cha uani)na mke wangu lakini nilikataa kat kata mpaka leo
Na dadaako itapendeza sana mkuuNatamani ni cheat na wewe au unasemaje shostito?
Huo ni ujinga wanawake tunajidanganya wenyewe yaan ushahidi upo mezani afu et mtu anakataa nawe unamuamini mm nilimbana mbona mpaka akasema ukweli and issue solvedIla kudanganywa huku unaujua ukweli inauma asee,acha tu,Mimi nilikubali kudanganywa mwisho wa nilikuta na mtoto kashazaliwa hapo ndo nikaambiwa ukweli kuwa mtoto ni wake moyo ulipasuka pah,haya Mambo yasikie tu yasikukute
Kwanini mkuuSasa kweli na wee unaishije Sinza na na mume kabisa wa ndoa Kama siyo kujitafutia matatizo kitendo Cha kusema mmnaishi Sinza basi Hapo Hapo nikaona lazima jamaa awe mchepukaji mzuri sanaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
sinza si eneo la kuishi kifamilia hata si salama kwa makuzi ya watoto inavichocheo vingi sana vyaKwanini mkuu
[emoji23][emoji23]kuliko Buza mkuusinza si eneo la kuishi kifamilia hata si salama kwa makuzi ya watoto inavichocheo vingi sana vya
Ukikuta vitu unavitoa lakin usikusudie kumkagua mumeoWe unachekesha kweli kwahiyo hata kama kuna hela au karatas ambayo ni ya muhimu je?
Na kama anakuambia wote anaotembea nao au aliowahi tembea nao means hakupendi?Ukiona anakataa ujue una mihuri yote kwake, yaani your the one.
HUjawahi mropokea tena hilo jambo? Maana tatizo lenu kurudia kulaumu jambo lile lile wakati mmeshalijadiliHuo ni ujinga wanawake tunajidanganya wenyewe yaan ushahidi upo mezani afu et mtu anakataa nawe unamuamini mm nilimbana mbona mpaka akasema ukweli and issue solved
Akili kubwa sana hii mkuu,nimekuelewa sana yaniCheating is a long term mediated process. Imeanza akilini muda mrefu kabla haija manifest kwenye uhalisia.
Ni zaidi ya kitendo cha kumvulia mwingine nguo na kufanya naye kile kilichopaswa kutofautisha hadhi ya mwenzi wako na wengine.
Ni msururu wa uongo juu ya uongo uliokuwa ukisema na kuishi muda wote hadi kufikia kwenye tukio, msg na maongezi ya siri, mikutano ya siri, mawazo yako hasi kuelekea kwa mwenzio (ukweli ni kuwa watu huanza kuwashusha wenzi wao thamani au kuwatoa kasoro akilini mwao kabla ya kuanza kuangaza angaza macho kwingine).
Ni kukosa kwako ari ya kuishi viapo vya uaminifu ulivyotoa, ambalo linaashiria pia hali yako ya kiroho/kiakili ilivyo. Watu wanaoishi kiholela bila kuwa na mipaka au kutoheshimu mipaka waliyodai kujiwekea huwa na mvurugo nafsini mwao. You cannot have peace when you live a contradiction.
Either live an open polygamist/polyandrous life you believe in and not take unwilling victims in the process or live your vows to be faithful. It's the victims who help maintain the cheater's sanity by staying and trying to win them over.
Ni kukosa upendo na heshima kwa mwenzio na hivyo kujifikiria mwenyewe na mahitaji yako na kudharau ya mwenzio na kutojali madhara utakayomsababishia, kama unavyoona comments "ni tamaa zangu", "hawezi kuondoka", "nitakataa na atanisamehe", "nitakuwa msiri zaidi"
Ni ishara ya mtu immature asiye na uwezo wa kufanya maamuzi. Kama ndoa imekufa achana nayo acha kuishi uongo unamdanganya Nani!
Ni ishara ya mtu asiye na empathy yani haumii kwa kuumiza wengine, na hategemei kuwajibishwa.
Ni ishara ya mtu asiyejitambua, kama wanyama haja evolve beyond the physical, anaishi ili ale, anachagua mwenyewe anakula kwanza ndo ale au ale ndo atakula, imeisha hiyo.
Ndomaana mimi najiona mwenye bahati kuwa na mume wangu wa kupuliza kwani amejua kufanya nyumba yetu kuwa kisiwa cha amani kwa kuishi ukweli wake!