Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

Very good
 
Kutokana na ugumu wa kupata ajira vijana wengi wameingia kwenye udalali. Hata gharama za kupanga chumba/nyumba madalali ndio wanaopandisha bei
 
Magari ya mwanza ndiyo habari ya mjini. Mi nilinunua Brevis yangu huko, namba DNS, Lipo poa na Bomba kabisa.
Brevis wengi wanazikimbia. Kama umenunua bei rahisi sio sababu ni Mwanza, ila sababu ni Brevis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…