Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu nimenunua gari hili mwanza halijawahi kunisumbua Kwa lolote ni mwaka wa pili Sasa. Ni hii juzijuzi nilipotuma hiyo thread kutafuta msaada na ishu ilikuwa ndogo tu, plug moja ilikuwa haichomi. Nimebadili plug na chombo imetembea Sumbawanga dar bila shida.Naona dalali wa Dar umekuja kwa kasi ya hatari
😅😅😅😅 Mie mbona rahisi kunijuaHalafu hizi mambo zako za Kubadili hizi...
Utajaniingiza chaka siyo siku moja,[emoji2]
Dar ujanja ujanja mwingiMwanza inaweza ikawa kimbilio wa wazee wa kuunga unga,maana zanzibar baada ya kuona watu wengi wanaenda kununua magari kule nao wakapandisha bei na hapo ulipie meli na ukifika bara ulipie ushuru,crown kama hii inauzwa m 7 mwanza kweli kucheleView attachment 2285065
Tupo huo ujanja tudake magari aisee mana kuna jamaa yangu ana 13m ila bado hajapata gari ya kununua mpk leo kwa darBinafsi huwa nikipata namba ya gari huwa sihangaiki na madalali bali naangalia usajili ni nani mmiliki ila changamoto huwa inakuwepo iwapo aliyeuza mwanzo hakubadilisha jina, ila huwa kafanikiwa kuunganishwa na huyo mwenye jina lililopo kwa kadi ya gari hilo.
NB: Hii si kwa kila mtu anaweza kufanya hivi
Mi nahitaji kluger Kama kwa mwanza namba DY ni m13 Hadi m15 tunafanya biasharaHapo nimekupata mkuu, but how about yale
Magari unakuta halijatumika sana nchini
Lets say namba DYZ, nmekuta harrier mwanza anauza 15m while dar 22m, na wote ni DY
Na pia dar gari hio hio moja unakuta bei tofauti, kuna harrier nmekuta madalali watano kila mtu bei yake 16m, 17.5m, 19m .. na ni gari hio hio
Kwa hela hiyo kluger dy upati hata huko mwanzaMi nahitaji kluger Kama kwa mwanza namba DY ni m13 Hadi m15 tunafanya biashara
Niunganishe na huyo ndugu yakoKuna jamaa yangu pia alinunua kluger mwaka juzi mwanza Kwa bei ya kawaida pia nahisi kluger ndiyo gari pendwa kanda ya ziwa yote
Hii gari ukiichukua ukaileta hapa Dar ukaivesha rim kali na make up kidogo tu unauza 12m yani umekosa sana 1Om mtu haruki.Mwanza inaweza ikawa kimbilio wa wazee wa kuunga unga,maana zanzibar baada ya kuona watu wengi wanaenda kununua magari kule nao wakapandisha bei na hapo ulipie meli na ukifika bara ulipie ushuru,crown kama hii inauzwa m 7 mwanza kweli kucheleView attachment 2285065
watu wa dar wana hela au washamba wapigwaji 😒😒Hii gari ukiichukua ukaileta hapa Dar ukaivesha rim kali na make up kidogo tu unauza 12m yani umekosa sana 1Om mtu haruki.
Dar madalali ni mabingwa wa kushusha kilometre 😂😂😂 gari ikifanyiwa soap sop ikapigwa Ikeda yani lazma uingizwe kingi. Watu wanalamba 3M wanagawana biashara inaisha1.Mwanza mzunguko wa pesa si kama dsm, so ukiweka bei kubwa wengi hawanunui.
2. Dsm gari ni almost basic need but mwanza ni luxury.. uhitaji wa gari mwanza si wa lazima sana kwasababu usafiri ausumbui sana na hauna kero, pia trip za mwanza ni fupi fupi tofauti na DSm
3. Utanzaji wa gari kanda ya ziwa ni mbovu sana kulinganisha na dsm.. ukienda gereji za mwanza ukaona jinsi wanavofanya service za magari, oil wanazotumia, transmission fluid wanazotumia yaan unakuta wanaweka mi lubex kwenye transmission wakat mwingine wanaongezea na mioil eti iwe nzito dah.. nilishangaa sana..
So ukija nunua wakati mwingine you buy a time bomb so mtu anakua anatafuta namna ya ku dispose gari mapema kabla halijamfia.
Dar wapambe nuksi wengi 😂😂😂 gari moja waungaji 5 kila mmoja anataka atoke na laki 5 yakewatu wa dar wana hela au washamba wapigwaji 😒😒
Mwanza inaweza ikawa kimbilio wa wazee wa kuunga unga,maana zanzibar baada ya kuona watu wengi wanaenda kununua magari kule nao wakapandisha bei na hapo ulipie meli na ukifika bara ulipie ushuru,crown kama hii inauzwa m 7 mwanza kweli kucheleView attachment 2285065
inabidi tuongee na UDSM waje na crush program ya madalali maana wengine wanazingua sanaDar wapambe nuksi wengi 😂😂😂 gari moja waungaji 5 kila mmoja anataka atoke na laki 5 yake
Hahahahhah waelimishwe kwa kweliinabidi tuongee na UDSM waje na crush program ya madalali maana wengine wanazingua sana