Kwanini Mwekezaji mpya wa Mabasi ya Mwendokasi (DART) Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu kachelewa kuanza kazi?

Acha uchokozi mkuu! Nimehisi jambo... unataka kuibua jambo!!!
Mkuu, ni kweli nataka kuibua majibu ya ukimya huu. Tunaoteseka ni sisi watumiaji wa mwendokasi. Kero ni kubwa mno.

Walipotutangazia kapatikana mwekezaji toka Falme za Kiarabu mwenye uwezo tulifarijika. Huu ukimya hatuuelewi.
 
Watanzania wenzangu hebu tujiuluze, Serikali ya Tanzania au Taasisi yoyote ile ya Serikali imeweza kufanya jambo gani au kufanya kitu gani kwa ufanisi mpaka imekuwa mfano wa kuigwa na jamii?
Je, Serikali yetu hii imeweza kufanya jambo gani lililo zuri, bora na kwa ufanisi mkubwa zaidi? Je, Serikali imeweza katika jambo lipi zuri ndani au nje ya nchi hii??
Let's discuss please, and if possible, give us the vivid examples.
Hapo unaamanisja serikali imefeli. Sasa kwa nini tusianze na kubinafsisha serikali?
 
Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.

Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.

Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.

Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze?

Information is power.

Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Kila kitu mzanzibar anajua watanganyika hawawezi kazi kweli kweli.
 
Watanzania wenzangu hebu tujiuluze, Serikali ya Tanzania au Taasisi yoyote ile ya Serikali imeweza kufanya jambo gani au kufanya kitu gani kwa ufanisi mpaka imekuwa mfano wa kuigwa na jamii?
Je, Serikali yetu hii imeweza kufanya jambo gani lililo zuri, bora na kwa ufanisi mkubwa zaidi? Je, Serikali imeweza katika jambo lipi zuri ndani au nje ya nchi hii??
Let's discuss please, and if possible, give us the vivid examples.
Serikali ya CCM imepoteza dira na muelekeo(r.i.p Horace kolimba)
 
Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.

Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.

Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.

Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze?

Information is power.

Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Una jambo jingine uongeze ili ututhibitishie unavyochukia waarqbu?
 
Back
Top Bottom