Bhisumbinyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 797
- 581
Wewe subiri utajibiwa. Au nenda live ofisini kwao utajibiwa.Kwanini mwekezaji kachelewa kuanza? Watumiaji wa huu usafiri tunapitia adha kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe subiri utajibiwa. Au nenda live ofisini kwao utajibiwa.Kwanini mwekezaji kachelewa kuanza? Watumiaji wa huu usafiri tunapitia adha kubwa.
Sawa mkuuWewe subiri utajibiwa. Au nenda live ofisini kwao utajibiwa.
Hakika, waarabu wana dharau kubwa mno kwa asie mwarabu na hasa uwe na ngozi nyeusi kidogo wanakuona mtumwa unaejipendekeza. Wapigaji hamna duniani kama wao.Waarabu wahuni na washenzi. Tumepigwa
Tupo kwenye mchakato wa kuwapa Emirates waiendeshe ATCL mileleGazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.
Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze?
Information is power.
Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Sawa mkuu. Ila kama kuna changamoto kubwa basi atafutwe mwekezaji mwingine.Mbona hujiulizi kwanini mnajenga shule nyingi halafu wanafunzi hawana madawati na Waalimu?
Au na shule mnasubiri Emirates alete waalimu
Kuna watu wanajua kuhoji ila huwezi hata kumuamini mkopo wa elfu 10
Acheni lawama, labda wameona wameombwa hongo kubwa ili mradi uanze au mmeisha iba hata laptops zao mkiwa kwenye kikao maana hamshindwi
Duh waarabu wameupiga mwingi sana awamu hii.Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.
Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze kwa kuzingatia waarabu wamefanikiwa sana katika sekta ya usafirishaji?
Information is power.
Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Bora asije ,hii Nchi imejaa wapumbavu waliojaza mentality za umaskini wa Kijamaa..Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha mfumo wa malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.
Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze kwa kuzingatia waarabu wamefanikiwa sana katika sekta ya usafirishaji?
Information is power.
Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Uza na familia yako kama unayo kwa Waarabu. Utakuwa tajiri ujueUnatuuliza sisi badala ya kuwauliza wahusika?
Unajuaje kama taratibu zingine bado zinaendelea?
Tuliahidiwa treni ya Dar- Moro ingeanza 2019. Je imeanza?
Tuliahidiwa vichwa vipya vya treni Je vilifika?
Tuliahidiwa Bwawa la Umeme lingekamilika 2021 , Je limekamilika?
Niuzaje?Uza na familia yako kama unayo kwa Waarabu. Utakuwa tajiri ujue
Hiyo ndio picha ya uwezo wa hawa waarabu. Tatizo ni ulimbukeni na kutojiamini. Lakini zaidi ni tamaa binafsi ya vigogo wetu kupiga dili. Hawa sisi tuna uwezo kama wao kuendesha mambo. Kama ni hela sio kwamba waarabu ziko tu ila ukiwapa dili wanaenda kukopa. Lakini wanachofanya ni udalali tu maana wanapanga na wajuzi toka sehemu mbalimbali. Utakuta wakija na kampuni hapa wapo wazungu wahindi hata wachina. Sisi kwani hatuwezi kukopa kama serikali au sekta yetu binafsi?Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha mfumo wa malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.
Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze kwa kuzingatia waarabu wamefanikiwa sana katika sekta ya usafirishaji?
Information is power.
Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Labda iwe hivyoSawa mkuu. Ila kama kuna changamoto kubwa basi atafutwe mwekezaji mwingine.
Hawa jamaa wanacheza na akili tu. Mashirika yao hawabinafsishi bali wanaajiri wazungu na wahindi wasimamie.Hiyo ndio picha ya uwezo wa hawa waarabu. Tatizo ni ulimbukeni na kutojiamini. Lakini zaidi ni tamaa binafsi ya vigogo wetu kupiga dili. Hawa sisi tuna uwezo kama wao kuendesha mambo. Kama ni hela sio kwamba waarabu ziko tu ila ukiwapa dili wanaenda kukopa. Lakini wanachofanya ni udalali tu maana wanapanga na wajuzi toka sehemu mbalimbali. Utakuta wakija na kampuni hapa wapo wazungu wahindi hata wachina. Sisi kwani hatuwezi kukopa kama serikali au sekta yetu binafsi?
Tuache ujinga na ulafi wa kijinga. Tutadharauliwa hafi mwidho wa dunia.
Labda wamejipanga kwenye ushindani wa tenda.Mbona hawa Emirates wamekuja kwa kasi ya 5G?
Daah! Lakini si tungeona mabadiliko katika utendaji?Siku ukiambiwa jamaa wanapiga mzigo na wanakula chao vizuri tu utajua hujui.
Utendaji gani tena, hiyo ndo bongo unaweza kuta jamaa washapewa tenda pesa inapigwa juu kwa juu na hamna linalofanyika.Daah! Lakini si tungeona mabadiliko katika utendaji?