Mkuu, ni kweli nataka kuibua majibu ya ukimya huu. Tunaoteseka ni sisi watumiaji wa mwendokasi. Kero ni kubwa mno.Acha uchokozi mkuu! Nimehisi jambo... unataka kuibua jambo!!!
Ni zamu ya yoyote mwenye uwezo. Tenda zinatangazwa mkuu.naona ni zamu ya Arabs sasa
Kwa hiyo unamaanisha kwamba hata ikulu ya Rais wa nchi ya Tz kwa sasa tunatakiwa kumpatia mwekezaji binafsi?? Kwa sababu hata yenyewe nayo haifanyi vizuri.Kila tunachosimamia tunaharibu. Dawa ni uwekezaji wa sekta binafsi.
Hapo unaamanisja serikali imefeli. Sasa kwa nini tusianze na kubinafsisha serikali?Watanzania wenzangu hebu tujiuluze, Serikali ya Tanzania au Taasisi yoyote ile ya Serikali imeweza kufanya jambo gani au kufanya kitu gani kwa ufanisi mpaka imekuwa mfano wa kuigwa na jamii?
Je, Serikali yetu hii imeweza kufanya jambo gani lililo zuri, bora na kwa ufanisi mkubwa zaidi? Je, Serikali imeweza katika jambo lipi zuri ndani au nje ya nchi hii??
Let's discuss please, and if possible, give us the vivid examples.
Tender ya kumpata msimamizi mpya wa mwendokasi imetangazwa lini! Ya bandari imetangay lini?Ni zamu ya yoyote mwenye uwezo. Tenda zinatangazwa mkuu.
Mtu kajiunha jf leo, unategemea amekuja kufanya nini?Kwa hiyo unamaanisha kwamba hata ikulu ya Rais wa nchi ya Tz kwa sasa tunatakiwa kumpatia mwekezaji binafsi?? Kwa sababu hata yenyewe nayo haifanyi vizuri.
Siyo Serikali tu bali mihimili yote ya Dola, yaani ukianzia na Serikali yenyewe, Bunge na Mahakama.Hapo unaamanisja serikali imefeli. Sasa kwa nini tusianze na kubinafsisha serikali?
Tujikite kwenye mada mkuu. Nimeomba ufafanuzi wa mamlaka juu ya ukimya wa mwekezaji na si vinginevyo.Kwa hiyo unamaanisha kwamba hata ikulu ya Rais wa nchi ya Tz kwa sasa tunatakiwa kumpatia mwekezaji binafsi?? Kwa sababu hata yenyewe nayo haifanyi vizuri.
Ya Mwendokasi Serikali ilisema ilifanyika. Huiamini Serikali yako?Tender ya kumpata msimamizi mpya wa mwendokasi imetangazwa lini! Ya bandari imetangay lini?
Mkuu, ilitakiwa nijiunge lini?Mtu kajiunha jf leo, unategemea amekuja kufanya nini?
Kila uwekezaji ni mwarabu. do hayaWaarabu wahuni na washenzi. Tumepigwa
Serekali ya ccm inalaumu watendaji e.g. wa bandari kwa kufanya kazi kwa mazoea, lakini kumbe wao ndia vinara wa kufanya kazi kwa mazoea, tabia iliyoambukizwa hata mashirika yooote ya serekali.CCM imefikia hatua imejichokea kabisa hawana uwezo tena wa kufikiri,
Kila kitu mzanzibar anajua watanganyika hawawezi kazi kweli kweli.Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.
Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze?
Information is power.
Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Serikali ya CCM imepoteza dira na muelekeo(r.i.p Horace kolimba)Watanzania wenzangu hebu tujiuluze, Serikali ya Tanzania au Taasisi yoyote ile ya Serikali imeweza kufanya jambo gani au kufanya kitu gani kwa ufanisi mpaka imekuwa mfano wa kuigwa na jamii?
Je, Serikali yetu hii imeweza kufanya jambo gani lililo zuri, bora na kwa ufanisi mkubwa zaidi? Je, Serikali imeweza katika jambo lipi zuri ndani au nje ya nchi hii??
Let's discuss please, and if possible, give us the vivid examples.
Una jambo jingine uongeze ili ututhibitishie unavyochukia waarqbu?Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa ya serikali kupitia gazeti hilo ilisema kampuni hiyo ingeanza kazi Novemba 2022. Makubaliano ni kwamba; mwanzoni kampuni hiyo itaingiza mabasi 177, na ndani ya miezi 6 (kuanzia Nov 2022) itaingiza jumla ya mabasi 750. Pia, watarejesha malipo ya kadi pekee katika vituo vya mwendokasi.
Hata hivyo, hadi sasa wananchi hatuoni hayo mabasi mapya, hatuoni kuboreshwa kwa huduma ya usafiri wa mwendokasi na wala hatuwaoni watendaji wa Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Tatizo ni nini? Mbona wananchi hatuelezwi? Waarabu wamepatwa na nini? Kama wameshindwa hatuwezi kupata waarabu wengine wawekeze?
Information is power.
Soma DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea
Kwanini mwekezaji kachelewa kuanza? Watumiaji wa huu usafiri tunapitia adha kubwa.Una jambo jingine uongeze ili ututhibitishie unavyochukia waarqbu?