Kwanini Mwekezaji mpya wa Mabasi ya Mwendokasi (DART) Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu kachelewa kuanza kazi?

Mbona hujiulizi kwanini mnajenga shule nyingi halafu wanafunzi hawana madawati na Waalimu?

Au na shule mnasubiri Emirates alete waalimu
Kuna watu wanajua kuhoji ila huwezi hata kumuamini mkopo wa elfu 10

Acheni lawama, labda wameona wameombwa hongo kubwa ili mradi uanze au mmeisha iba hata laptops zao mkiwa kwenye kikao maana hamshindwi
 
Waarabu wahuni na washenzi. Tumepigwa
Hakika, waarabu wana dharau kubwa mno kwa asie mwarabu na hasa uwe na ngozi nyeusi kidogo wanakuona mtumwa unaejipendekeza. Wapigaji hamna duniani kama wao.
99% waarabu ni wala unga kwa sababu pombe hawanywi na uzuri wa unga haunuki.
 

Attachments

  • Screenshot_20230621_211056_Chrome.jpg
    113.3 KB · Views: 7
Tupo kwenye mchakato wa kuwapa Emirates waiendeshe ATCL milele
 
Sawa mkuu. Ila kama kuna changamoto kubwa basi atafutwe mwekezaji mwingine.
 
Duh waarabu wameupiga mwingi sana awamu hii.
 
Bora asije ,hii Nchi imejaa wapumbavu waliojaza mentality za umaskini wa Kijamaa..

Wasije ibakie Kila mradi unaleta hasara Ili pesa za Madini,Utalii na jasho jingine ziwe zinaendesha mashirika yaliyofeli..

Ndio stahiki ya mjamaa
 
Uza na familia yako kama unayo kwa Waarabu. Utakuwa tajiri ujue
 
Hiyo ndio picha ya uwezo wa hawa waarabu. Tatizo ni ulimbukeni na kutojiamini. Lakini zaidi ni tamaa binafsi ya vigogo wetu kupiga dili. Hawa sisi tuna uwezo kama wao kuendesha mambo. Kama ni hela sio kwamba waarabu ziko tu ila ukiwapa dili wanaenda kukopa. Lakini wanachofanya ni udalali tu maana wanapanga na wajuzi toka sehemu mbalimbali. Utakuta wakija na kampuni hapa wapo wazungu wahindi hata wachina. Sisi kwani hatuwezi kukopa kama serikali au sekta yetu binafsi?
Tuache ujinga na ulafi wa kijinga. Tutadharauliwa hadi mwidho wa dunia.
 
Hawa jamaa wanacheza na akili tu. Mashirika yao hawabinafsishi bali wanaajiri wazungu na wahindi wasimamie.
 
Siku ukiambiwa jamaa wanapiga mzigo na wanakula chao vizuri tu utajua hujui.
 
Daah! Lakini si tungeona mabadiliko katika utendaji?
Utendaji gani tena, hiyo ndo bongo unaweza kuta jamaa washapewa tenda pesa inapigwa juu kwa juu na hamna linalofanyika.
We kipepe wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…