dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Duh sawa ,Sasa alihudumu kwa Muda gani ktk ofc zoteRedkebisho kidogo: hakuwahi kuwa jaji mkuu, alikua jaji wa mahakana kuu.
Kwani una umri gani!Duh sawa ,Sasa alihudumu kwa Muda gani ktk ofc zote
Sifahamu vizuri lakini ni kwa nyakati tofauti, anaweza kuwa jaji kwa miaka labda miwili then kateuliwa kuwa AG, mara kaenda kugombea ubunge kawa PM....sijui historia yake vizuri ila katumikia nafasi nyeti kwa muda mrefu sanaDuh sawa ,Sasa alihudumu kwa Muda gani ktk ofc zote
Mzee alipata kuwa
Jaji mkuu
Makamu wa rais
Waziri mkuu
Mwanasheria mkuu wa serekali
Na badae Tena akaja kuwa mwenyekit ya tume ya marekebisho ya katiba
Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na Hadi mwalimu kumpachika vyeo vyote hvyo kasoro uspika
Nataka kueleWa kwanini walimpachika vyeto hvyo
Je pension yake si itakua inasoma vzr sna kote kote analamba aliko hudumu
leo nilikuwa nae kwenye mkutano wa wahariri akifungua kongamano wadau wa habari na uchaguzi ndipo nikawaza aliwezaje kuwa kote kote huko na Ni kipind gani alihudumu
Marekebisho na kwako Jaji Warioba hajawahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Alikuwa Jaji wa moja wapo ya nchi za jumuiya ya madola, (imenitoka kidogo). Hajawahi kuwa Jaji ndani ya Mahakama ya Tanzania.Rekebisho kidogo: hakuwahi kuwa jaji mkuu, alikua jaji wa mahakana kuu.
Unafahamu maana ya kurundikwa?Mzee alipata kuwa
Jaji mkuu
Makamu wa rais
Waziri mkuu
Mwanasheria mkuu wa serekali
Na badae Tena akaja kuwa mwenyekit ya tume ya marekebisho ya katiba
Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na Hadi mwalimu kumpachika vyeo vyote hvyo kasoro uspika
Nataka kueleWa kwanini walimpachika vyeto hvyo
Je pension yake si itakua inasoma vzr sna kote kote analamba aliko hudumu
leo nilikuwa nae kwenye mkutano wa wahariri akifungua kongamano wadau wa habari na uchaguzi ndipo nikawaza aliwezaje kuwa kote kote huko na Ni kipind gani alihudumu
Mzee Ni kichwa Sanaa na yupogo real kwakua jf Ni nyumbani kwa wengi 😊 ngoja waje wajuvi wakujuzeMzee alipata kuwa
Jaji mkuu
Makamu wa rais
Waziri mkuu
Mwanasheria mkuu wa serekali
Na badae Tena akaja kuwa mwenyekit ya tume ya marekebisho ya katiba
Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na Hadi mwalimu kumpachika vyeo vyote hvyo kasoro uspika
Nataka kueleWa kwanini walimpachika vyeto hvyo
Je pension yake si itakua inasoma vzr sna kote kote analamba aliko hudumu
leo nilikuwa nae kwenye mkutano wa wahariri akifungua kongamano wadau wa habari na uchaguzi ndipo nikawaza aliwezaje kuwa kote kote huko na Ni kipind gani alihudumu
Machawa wanatumwa kumvuruga Jaji Warioba sababu amekinukisha hukoo kasema ukweli mtupuu kuhusu uvhaguziUnafahamu maana ya kurundikwa?
Kwa muktadha wa swali lako juu ya Jaji Joseph Sinde Warioba, inamaanisha kupachikwa vyeo vingi kwa wakati mmoja.
Unachopaswa kujua ni kuwa, Mzee Sinde alitumikia nafasi hizo kwa nyakati tofauti tofauti kipindi cha uhai wake.
Mathalani,
.Kuanzia mwaka 1976-1985 ndiyo alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
.Mwaka 1985 mpaka 1990 ndipo alikuwa Waziri Mkuu kipindi cha Hayati Mzee Mwinyi.
.Mwenyekiti wa tume ya Katiba mwaka 2012.
Hajawahi kuwa Jaji Mkuu kama ulivyoainisha hapo juu.
Hakuna kipindi ambacho aliwahi kuwa na vyeo viwili kwa wakati mmoja. Ukiachana na vile vya lazima kama kuwa Mbunge ili uweze kuwa waziri, nk.
Na si yeye tu, viongozi wengi wa Tanzania wamepitia katika nyakati tofauti tofauti za uongozi, na kuwa na vyeo tofauti tofauti katika nyakati za utumishi wao.
Kumbe ndo asili ya kuitwa jaji, mimi nilidhani alikua jaji wa high court.Marekebisho na kwako Jaji Warioba hajawahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Alikuwa Jaji wa moja wapo ya nchi za jumuiya ya madola, (imenitoka kidogo). Hajawahi kuwa Jaji ndani ya Mahakama ya Tanzania.
Ukiuliza kama hilo linawezekana jibu ni ndio linawezekana.
Mbali na elimu pia Jaji Warioba na Mzee Butiku wana nasaba ya karibu na Mwalimu Nyerere.
I doubtNawe pia nakurekebisha,
Alishawahi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania baada ya kumaliza kuhudumu kama Waziri Mkuu.
Nimefanya utafiti kidogo Warioba hajawahi kuwa jaji wa mahakama ya rufaa. Pia hajawahi kuwa jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.Nawe pia nakurekebisha,
Alishawahi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania baada ya kumaliza kuhudumu kama Waziri Mkuu.
Warioba alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu lini?Rekebisho kidogo: hakuwahi kuwa jaji mkuu, alikua jaji wa mahakana kuu.
Ana bahati Sana msema mwalimu nae alikuwa mkanda maalumu Sana wahukunyumba🤣🤣Nyerere alitawala kwa miaka 20+ hii ndio umesahau na alifanya mabadiliko mara kwa mara pia Warioba alistahili kupanda vyeo kutokana na utendaji wake
Kuna member kanirekebisha, ni kweli hajawahi.Warioba alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu lini?
Afadhali umehoji Mana jamaa amesemaAfdahki Warioba alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu lini?