Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Absolutely πŸ’―.
 
Hiyo ndo system inavyofanya kazi
Usiiamini sana
Jali tumbo lako
 
Sio kweli, Nyerere alikuwa PM wa Tanganyika huru na baadae Rais wa Tanganyika kisha Tanzania baada ya muungano.

Nafikiri unachanganya mambo, kipindi Nyerere alikuwa Waziri mkuu hakukuwa na cheo cha Uraisi kama ilivyo leo hii nafikiri raisi alikuwa ni English monarchy hivyo WM ndiyo kilikuwa cheo kikubwa klk vyote kiserikali ni kuweka mambo sawa tu haina uhusiano wa WM hawezi hawezi kuwa raisi wa JMTZ hilo silifahamu!
 
Sio lazima mbona wakati Davis mabeyo anastaafu msaidizi alikuwa yule mhehe Lt Gen Mathew Mkingule lakini Mheshimiwa rais alimchagua JJ Mkunda The same kwa magufuli kipindi Mwanyange anastaafu msaidizi alikuwa ni Lt Gen mwakibolwa lakini Hayati Magufuli alimchagua mabeyo Na hata sasa usitegemee huyu Lt Gen Salim othman ndio atakuwa cdf baada ya Gen JJ Mkunda.
TPDF ina bodi na hiyo bodi huteua majina matatu na kumpelekea Rais kisha rais huteua mmoja kati ya hao watatu waliopendekezwa
 
Hii habari umehadithiwa mkuu. Una hakika gani kama ya kweli!!?
Story za humu jf ziachage hivyo hivyo
 
Lugha hii siielewi,ila maneno yananifurahisha,hahahaa! eti kachora kachora...
 
Nakutaka sana...nikupe penzi la kitanga...ebu fanya upange siku nije nikupige mashine uwasahau wanaume zako wa darisalama...kwasasa nipo Tabata[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwel tanga waja leo... Yan uzi mzuri ila tayari mshanza kutangaziana nyege
 
Kiutawala Mwl Nyerere alikosea mnoo barua yake kurudi kwa mkuu wa majeshi Kisha naye Msuguri akairudisha tena kwa Sayore... kiukweli alifanya kosa kubwa mnoo, na kama yangetokea mauaji basi Mwl Nyerere ndo angelaumiwa
nyerere aliiacha kesi kwa wanajeshi wenyewe apo nyerere alitumia hekma .. msuguri ilibidi aongee vizuri na sayore..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…