Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Nahisi unafiki wa kisiasa, pia kwa Kikwete imefungua mlango wa kuja kuwa Rais
 
Katika nyuzi kama hizi tunahitaji watu kama nyinyi
 
Mkuu acha uchokozi,sababu utakuwa unaijua vizuri sana, shida ni kisasi!
 
Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ

Mwaka 1974 hadi 1975 ni Brigedia Jenerali Simon Nkwera

Mwaka 1975 hadi 1980 ni Luteni Jenerali Tumaineel Kiwelu

Mwaka 1980 hadi 1983 ni Meja Jenerali Imran Kombe

Mwaka 1983 hadi 1988 ni Meja Jenerali Martin Mwakalindile

Mwaka 1974 hadi 1975 ni Brigedia Jenerali Simon Nkwera

Mwaka 1988 hadi 1994 ni Luteni Jenerali Tumainiel Kiwelu

Mwaka 1994 hadi 2001 ni Luteni Jenerali Gideon Sayore

Mwaka 2001 hadi 2006 ni Luteni Jenerali Iddi Gahhu

Mwaka 2006 hadi 2007 ni Luteni Jenerali Davis Mwamunyange

Mwaka 2007 hadi 2012 ni Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo

Mwaka 2012 hadi 2015 ni Luteni Jenerali Samweli Ndomba

Mwaka 2015 hadi 2017 ni Luteni Jenerali Venance Mabeyo

Mwaka 2017 hadi 2018 ni Luteni Jenerali James Mwakibolwa

Mwaka 2018 hadi 2021 ni Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Mwaka 2021 hadi 2022 ni Luteni Jenerali Mathew Mkingule

Mwaka 2022 hadi sasa ni Luteni Jenerali Salim Othman
 
Asante kwa orodha hii adhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…