Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Ni kweli!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu Kwa historia fupi.
 
walitakiwa wamuue kabisa ameliiuza taifa letu. hataree
 
Umeeleza vizuri, swali la kujiuliza, je mabeyo kapewa uCoS na kikwete(utwala uliopita) na magufuri(utawala mpya)

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Umeeleza vizuri, swali la kujiuliza, je mabeyo kapewa uCoS na kikwete(utwala uliopita) na magufuri(utawala mpya)

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Enzi za Kikwete Chief Of Staff alikuwa na Afande Ndomba, baadae akaja Yakub Hassan, Februari 15, 2018, Baadae Jiwe akampa Mabeyo
 
Sawa lakini kikwete alkua Ni mpelelezi mkuu so ilkua sahihi kusema au kupeleka taifa
Sawa, ila nikupe siri moja tu...!

Hakuna cheo cha kukiogopa jeshini kama hiyo ya Ushushushu (Upelelezi) Most Soldiers huwa wanaomba wasiteuliwe (kumbuka jeshini ni uteuzi tu usiojadiliwa wala kukataliwa)

Ni rahisi sana kuuawa ukitekeleza majukumu kwny nafasi hiyo, JK was right kudisappear

Wengi wameuawa....
 
Story halisi naifahamu

Jamaa kaleta uongo tu hapo nmeona nsimpinge mkuu

Tuendelee kula mizizi chief
 
Kamuulize Kikwete ila ujue alikuwa na prerogative ya kumteua yeyote amtakae au amwaminie. kama alivyofanya. Je hii inaweza kutusaidia nini?
 
Kabla hapo afuatilie ilikuwaje akahamishwa kutoka Zanzibar.
By the way, sioni kwanini mleta mada atake awe Sayore tu wakati wapo wengine wengi. Zaidi, siyo kila unayedhani anafaa basi ni lazima awe nafasi ya juu kabisa.
Mleta Uzi alikuwa na lengo la kurufahamisha kuwa unafiku JK kauanza kitambo
 
Mzee Sayore alikataa promotion yoyote ya Kikwete hata baada ya Kikwete kuomba msamaha kwa magoti,mzee hadi leo anakumbuka mkwere alichomfanyia kule Monduli,mkwere fitna kaanza muda sana
Dodo acha uzushi na uwongo, unakusaidia nini mtu mzima kusema uwongo na uzushi wa hovyo hivyo. Hakuna mwanajeshi wa hovyo namna hiyo tena mwenye cheo kikubwa kiasi hicho. Mwanajeshi ni mtiifu kwa rais na amiri jeshi mkuu hawezi kukataa shughuli yoyte anayopewa na mkuu wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…