Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Hii ya mwishoni mbona sasa unatia chumvi?
Nimemsikia mara kibao Kikwete akimuita Nyerere baba wa Taifa.
 
Rafiki zangu kadhaa, walijiunga JF, baada ya mimi kuwasomea kisa hiki!
 
Mzee Sayore alikataa promotion yoyote ya Kikwete hata baada ya Kikwete kuomba msamaha kwa magoti,mzee hadi leo anakumbuka mkwere alichomfanyia kule Monduli,mkwere fitna kaanza muda sana
Ya bandari mmemaliza?!!!

Jk hamuwezi kumuangusha kwa uzushi na fitina zenu.....Mungu anamuongezea baraka tu ili mkasirike na kuumia zaidi.
 
Yasemekana hata jiwe aliwaruka majenerari 4 wenye sifa za kuteuliwa akamteua mtunza store Mabeyo.

Hao 4 wenye sifa akawapeleka special missions za Congo, Darfur, n.k. Kuna ukweli ktk hili?
Hawatochangia wala kukujibu hili; hoja yao, ugomvi wao, shida yao ni jk hivyo wewe ili ujibiwe na upate likes nyiiingi ponda jk sawa na lengo la mada.
 
Mzee Sayore alikataa promotion yoyote ya Kikwete hata baada ya Kikwete kuomba msamaha kwa magoti,mzee hadi leo anakumbuka mkwere alichomfanyia kule Monduli,mkwere fitna kaanza muda sana
Fix, fix, uongo, uongo. Nchi hii TOP ni Rais na hakuna mwanajeshi anaweza kumgomea Rais wa nchi hii. Huu upumbavu kawaambie wajinga wenzeko wa Kivule huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…