Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Kipindi Kikwete anaingia 2005, Lt General Sayore alishaacha kuwa CoS tangu 2001.

Sikumbuki kama aliendelea kuwa jeshini baada ya kuhudumu kwa kipindi kirefu kama CoS kuliko wote hata sasa takribani miaka 7.

Uwezekano wa yeye kuendelea kuwa jeshini kwa kipindi hicho ni mdogo (nipo tayari kusahihishwa)..
 
Alishastaafu.
 
Dah hatari sana Hii Mkongwe
 
Acha kukaa kwenye bangi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Naona great thinkers wengi wamekubali bwana hii taarifa.......si kwa likes hizo.
Jf imekuwa nyepesi mnoooo.
 
Kikwete alimkuta Mbona na Sayore au Waitara na Idd? Vipi wewe umeamka tu ukiwaza Waarusha
 
Hii ni version nyingine.
 
😂😂Km hii stori ni kweli nimesalute. Lkn km ni ya kutunga basi nafasi ya katibu mwenezi CCM inakufaa kbsa coz sio kwa propaganda hivyo
 

NI HIVI,

Kiukweli LG GIDEON SAYORE alikuwa vizuri sanaa yule Mmasai, Mzee wa Kimandolu / Kijenge

Na hata sasahivi yuko vizuri, He is a real SOLDIER,

Kuna Mswahili mmoja kiongozi Mkubwa alimpelekea UZUSHI Mwl. Nyerere kuwa SAYORE ni fisadi na anafanya biashara jeshini....

Kwasababu Sayore alikuwa anauzia jeshi zima la Monduli (TMA) Maziwa, Nyama na Sausages kwasababu jamaa alikuwa na ng'ombe wa kutosha na alikuwa karibu na ndugu yake mmoja aliyekuwa na kiwanda cha sausages Njiro-Arusha enzi hizo

Wivu ni mbaya wakuu, Umbea ni mbaya pia

Kijana wake mmoja ni Mshkaji wangu sana and he is SMART
 
Umeeleza vyema kabisa, ila hujamalizia kuwa aliendelea na fitina na chokochoko zingine mpaka msikitini, kwa Idd Simba na Mufti wa wakati ule kumsema vibaya Mwl. J.K Nyerere kuwa anawaonea Waislam [emoji23]

Aisee Waswahili wana jau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…