Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Fix, fix, uongo, uongo. Nchi hii TOP ni Rais na hakuna mwanajeshi anaweza kumgomea Rais wa nchi hii. Huu upumbavu kawaambie wajinga wenzeko wa Kivule huko.
Mkuu, hii niliambiwa na Mtu wa karibu kuwa alikuja kupewa kama sio u DC basi ni Ubalozi wa TZ Sweden....SAYORE akagoma na kusingizia kuwa Afya yake kwasasa haiko vizuri anaomba apumzike nyumbani...!

I heard...sikuprove
 
Nimesoma MORINGE SOKOINE, TMA ni jirani sana najaribu kuwaza toka Monduli hadi USA RIVER kwa ngondi 🤣🤣🤣
 
Umeeleza vyema kabisa, ila hujamalizia kuwa aliendelea na fitina na chokochoko zingine mpaka msikitini, kwa Idd Simba na Mufti wa wakati ule kumsema vibaya Mwl. J.K Nyerere kuwa anawaonea Waislam [emoji23]

Aisee Waswahili wana jau sana
Too late, hamjaweza na hamtoweza kamwe kumwangusha yule jamaa sababu kuna Mungu (referee) kati ya michuki yenu na yeye. JK ameshaumaliza mwendo wake wa kisiasa, mwacheni endeleeni na hamsini zenu. Kwani malaki ya taarifa mlizomzushia kitambo na kitambo, bila yeye kuijibu hata moja, zimewasaidia nini mpaka leo?!!!

Achacheni nae, zungumzieni na hangaikeni na vikokotoo vyenu hivyo......pumbaaaav!
 

Mkuu

Moreover, baada ya kupata nafasi ya kuwa CiC
Manyuzi akiwa Katibu wa Kikundi

Iliundwa kamati maalum ya kuzunguka Nchi nzima na kukusanya publications zote za alizoandika Mwalimu.

Zile publications zipo zilizochomwa pale ofisi ndogo Lumumba na Zingine ambazo hazina makali sana zikapelekwa Dodoma archives.

Kuna maneno yaliondolewa kabisa, Kama ELIMU YA UFUNDI NA KUJITEGEMEA +UJAMAA NA KUJITEGEMEA

Alijitahidi Sana kufuta kila kitu Alichofanya Mwalimu, kitu pekee kilichobaki Ilikuwa KATIBA. Tunajua Ilikuwaje!

Ni kweli neno Baba wa Taifa ni nadra Sana kusikia kutoka kwake zaidi ya Mzee Nyerere au Mwalimu.

Mbombo jilipo!
 
Nimesoma MORINGE SOKOINE, TMA ni jirani sana najaribu kuwaza toka Monduli hadi USA kwa ngondi 🤣🤣🤣
Kawaida sana Kwa mwanajeshi...SI unajua mazoezi TU ya kawaida mwanajeshi anaweza akakimbizwa mchaka mchaka Zaidi ya km 80 za kijeshi...na hizo km ni za kijeshi kwasababu Huwa ni Zaidi ya hizi km za kawaida...🙆🙆🙆🙆🤣🤣🤣
 
Sayore hakuwa mtu mzuri 🤣🤣🤣 si unawajua wamasai km 60+jamaa anatrot porini na hapo Sayore hakutaka kutuma kadets na infantry wa SOFA KJ wamsake
 
Sayore hakuwa mtu mzuri 🤣🤣🤣 si unawajua wamasai km 60+jamaa anatrot porini na hapo Sayore hakutaka kutuma kadets na infantry wa SOFA KJ wamsake
Mimi nadhani alikuwa mtu mzuri...kama asinge kuwa mtu mzuri angemalizana nae kimya kimya...tusinge mfahamu huyu mkwere...jeshini Kuna watu Wana roho mbaya sana na enzi hizo ilikuwa kupotelea huko huko jeshini na ndugu zako wasikuone tena ilikuwa kawaida sana. Na kisingizio kikubwa ilikuwa wanyama wakali...maana karibia kambi zote zilikuwa zinawanyama wakali kama hapo Ruvu ilisifika sana kwakuwa na chatu wakubwa...hivyo ukizingua enzi hizo unapotezwa harafu wanasingiziwa wanyama🤣🤣🤣🤣 ndio maana wanajeshi wengi wa enzi hizo awakupenda sana ndugu zao wajiunge na jeshi...japo hata sasa Mimi binafsi simshauri mtu atafute ajira jeshini!
 
Yupo wapi siku hizi...ana fanya mishe Gani...?
 
Mekulia jeshini 601 KJ ila nlikataa kuingia huko dingi alinitafutia connection baada ya f6.
Nkasema sivai sare baada ya sekondari 🤣🤣🤣 saivi nadhani ngekuwa (meja) 😅😅nikachagua kupambana uraiani ila Serikalini
 
Mekulia jeshini 601 KJ ila nlikataa kuingia huko dingi alinitafutia connection baada ya f6.
Nkasema sivai sare baada ya sekondari 🤣🤣🤣 saivi nadhani ngekuwa (meja) 😅😅nikachagua kupambana uraiani ila Serikalini
Mapambano popote rafiki Kwa upande wangu jeshi nililipenda ila halikunipenda kwani sikuwahi kubahatika kupata nafasi ya kulihudumia...ila nipo karibu karibu na jeshi kwani ndugu zangu asilimia kubwa ni wa hudumu huko jeshini...baada sasa ya Mimi kukosa nafasi huko jeshini nakazia kuwa SIMSHAURI MTU AHANGAIKIE NAFASI ZA JESHI...unaweza ukapambana kivingine nje ya jeshi na ukatoboa
 
Mezaliwa na kujulia jeshini 601KJ, enzi hizo kila kikosi kina-recruit wanajeshi wake chenyewe kabla ya kubadili utaratibu wa kuwa na vikosi maalumu vya "DEPO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…