Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Porojo

Sent from my 2201116SI using JamiiForums mobile app
 
Chuki dhidi ya mzee wa msoga zitawakondesha bure
 
Nyerere kweli ni mzee Nyerere.
Hakuna ulazima wa kumuita baba wa Taifa maana hilo jina halipo kisheria wala kikatiba. Ni maamuzi tu ya mtu mmojammoja kumuita hivyo

Ila mimi binafsi nimemsikia mara nyingi tu Kikwete akimuita Nyerere Baba wa Taifa. Sasa kama mlitaka amuabudu, hilo halitotokea.

Ninachokiona ni hatred iliyopitiliza ya watu dhidi ya Mzee JK
 
Unfortunately view yako haiwi supported kabisa na Mzee Mwinyi ambaye ndiye aliyeanzisha title hiyo ya Baba wa Taifa. Mkapa na JPM pia walipia njia hiyo ya Mzee Mwinyi isipokuwa Jakaya Kikwete. Mzee Mwinyi pia alisupport sana approach za JPM kwenye undeshaji wa serikali ila wengine wakamwita Dikteta.

Onana na Mzee Mwinyi.
 
Nyerere hakuanza kuitwa Baba wa Taifa na Mwinyi, ameanza kuitwa hivyo na waliopenda kumuita hivyo toka miaka ya 60 huko. Hata akina Salum Abdallah wanamuziki wametumia title hizo.

But all in all, Nyerere ni Mzee Nyerere. Kumnyima heshima yake ya Uzee ni kutomtendea haki maana kafa ana miaka 77. Ni mzee huyo!

Anayetaka kumuita Rais Nyerere, Mzee Nyerere, Baba wa Taifa ni juu yake. Ni non binding kumuita Baba wa Taifa. Hilo jina halipo Kisheria.

Nimalizie kwa kusema kuwa, Nimemsikia Kikwete mara kibao akimuita Nyerere Baba Wa Taifa. Si vizuri kumzushia
 
Baba wa Taifa ni Founding Father wa taifa. Anaweza kuwa mzee au kijana; Rumumba alikuwa founding Father wa DRC lakini alipokufa hakuwa mzee. Nkurmah pia ni founding father wa Ghana, na alipokufa hakuwa Mzee! Tofautisha na uzee wa umri na founding father role. Kusasahu founding father role ya Nyerere na kumjumuisha kuwa huyo ni mzee yeyote kama mzee alivyo Mzee Mpiri ndiyo dharau yenyewe ya Kikwete kwa Nyerere. Histopria itamhukumu.
 
Duuuh mbna hatarii hii sasa.
 
Pamoja na yote Mimi namkubali sana Msoga king jinsi anavyozichangaga karata zake.

Jamaa ni mtaalmu kweli kweli.

Ngoja na Mimi nianze kuwa mtaalamu kama yeye[emoji1].

Jamaa namkubali sana hapo tu

Ishu zake zingine abaki nazo mwenyewe hazihusu.

Haya maisha lazima upige mahesabu kweli kweli

Wapuuzi wanaweza kukukwamisha.
 
Sema Wewe sasa
 
Umetisha sana Mkuu. Shukrani.
 
Kiutawala Mwl Nyerere alikosea mnoo barua yake kurudi kwa mkuu wa majeshi Kisha naye Msuguri akairudisha tena kwa Sayore... kiukweli alifanya kosa kubwa mnoo, na kama yangetokea mauaji basi Mwl Nyerere ndo angelaumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…