Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Acha uongo na fitina.
 
Kama hayo ya ana ukweli, basi Mzee Nyerere alikosea, ila CDF alikosea zaidi.

Rais ni kama baba wa familia. Alipokuwa akiikabidhi hiyo barua, alipaswa kumpa na alau maelekezo kidogo ili kumlinda mtoa taarifa.

Sioni kosa kwa upande wa Kikwete. Yeye alieleza hali halisi kama alivyoiona, na pengine, hayo yalikuwa moja ya majukumu yake.

Lilikuwa ni wajibu wa viongozi wake - Rais na CDF, kufuatilia na kujiridhisha kama ni umbea au ni taarifa yenye mashiko.

Au wakubwa walikuwa wanaogopana?
 
Enzi hizo Hilo la watu kuogopana lilikuwepo...
 
Hahaha, wewe mzee usijue ya JK na Sayore! Yule mzee Sayore nasikia alikuwa akikasirika unaweza kujikojolea bila kufanywa chochote [emoji1787]

..unaangalia na hadhira unayojadiliana nayo.

..kama sijasahau jeshini kuna kitu kinaitwa MOVEMENT ORDER.

..Afisa kuondoka kikosini bila movement order au ruhusa ya Mkuu wa Kikosi ni jambo kubwa sana ktk nidhamu za jeshi.

..wakati niko Jkt ruhusa ilikuwa inatoka kwa battalion Adjutant kwa sisi makuruta, sijui kwa maafisa ilikuwa inatoka kwa nani.
 
Sasa unataka historia kila mtu aandikwe,mtataka mpaka mpiga kiwi,mama ntilie nae aandikwe,alipokuwa anakula, waliokuwa wakimpa maji, kipindi anakula winga kutoka Pugu mpaka Lumumba nao waandikwe.

Sasa why Mandela wanamwita baba wa taifa la SA,Kenyatta na hivyo hivyo,Kwame hivyo hivyo why Nyerere au hao wakina Kwame,Mandela ,Kenyata wao walikwa wakina spider man/super man wamepigania uhuru peke yao bila wenzao.

Maana kama mngetaka hivyo kwamba kila mtu aandikwe kwenye historia ya wapigania uhuru naona page za vitabu vya history vingefikia page 100k.
 
Kiukweli sisi hatujui kwa kuwa Kikwete yupo hai na ndiye hakumteua atakuwa na majibu zaidi.
 
Kweli nafahamu Sayore ana mashamba makubwa sana Naberera huko kama unaelekea Langai (Simanjiro).
 
Mbumbumbi sana wew
2005 CDF alikuwa waitara
Mboma amestaafu rais akiwa mkapa
Muwe mnajipa muda kusoma na kupitia tovuti ya jeshi mbona imeeleza uzumbukuku wako unakera
Sawa na mtu Ulize kwanini mama yako hakumeza p2 baada ya kudinyana na mzee wako
Mkuu, ungemwelewesha tu umemtusi sana wakati huu ni mjadala huru na tunarekebishana tunapokosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…