Kwanini nafsi yangu imehuzunishwa sana na kifo cha Veteran Actor huyu wa Nigeria

Kwanini nafsi yangu imehuzunishwa sana na kifo cha Veteran Actor huyu wa Nigeria

Jamaa simfahamu kbsa aisee,Ni vile sinaga shobo na movie za wanaigeria.

May his soul rest in eternal peace 🙏
 
Pole sana Mkuu,

Nami ni fance wake Mkubwa sana,

Na huko kwenye Industry Yao ndio huwa napata mafundisho ya kiroho, kielimu (lugha), nk.
 
Nakumbuka baadhi ya movie zake chache, he was indeed a great Actor!
 
Back
Top Bottom