Geza Ulole JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 65,136 Reaction score 91,917 Jun 10, 2021 #1 Zawadi zake haziteketezi miti ya Mpingo (blackwood) kama kipindi cha Mwendazake ambapo alikuwa akiangusha miti kutengeneza zawadi ya vinyago kwa Marais na wageni wake. Hiki kitu kilikuwa kinaniuma maana ilikuwa ni uharibifu wa mazingira! VS Your browser is not able to display this video.
Zawadi zake haziteketezi miti ya Mpingo (blackwood) kama kipindi cha Mwendazake ambapo alikuwa akiangusha miti kutengeneza zawadi ya vinyago kwa Marais na wageni wake. Hiki kitu kilikuwa kinaniuma maana ilikuwa ni uharibifu wa mazingira! VS Your browser is not able to display this video.
Flano JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,446 Reaction score 14,880 Jun 10, 2021 #2 Mimi na mwendazake ni kitu kimoko.
Mkalimani wa taifa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 753 Reaction score 1,290 Jun 10, 2021 #3 haloo mpumzisheni mzee amesha enda zake
Geza Ulole JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 65,136 Reaction score 91,917 Jun 10, 2021 Thread starter #4 Mkalimani wa taifa said: haloo mpumzisheni mzee amesha enda zake Click to expand... Alikuwa mbishi kinoma!
Mkalimani wa taifa said: haloo mpumzisheni mzee amesha enda zake Click to expand... Alikuwa mbishi kinoma!
M Mkingaleo Member Joined May 13, 2021 Posts 68 Reaction score 74 Jun 10, 2021 #5 Kazi iendelee,tupo 50 kwa 50