babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 703
- 491
ha ha haMm hata ktk magroup ya watsap huwa nawaza hvyo
Gogo fresh mkuuItete kwa Njiwa, Minazini au Mjengoni mkuu?
RuralMoro Town
Gogo fresh mkuu
Yah tupo pande ShinyangaYani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
Ndio tupo huku mkuu, ni mwendo wa kula ubaga na somba tuMkuu Itete napajua vizuri sana. Hata hapo gogo napajua , karibu na mzee Peleka.
Tuko karibu mimi nipo Jaribu mpakani mkuuMbona mie nipo KIBITI
Msalimie mwl hassan mwinshaha bungu prTuko karibu mimi nipo Jaribu mpakani mkuu