Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Humu watu wako maeneo tofauti, ila wengi dar wanaijua kitambo... Kusoma vyuo, kufuatilia mambo ya kikazi, etc
 
Labda takwimu za Dk. Mpango zinaweza kuwa kielelezo

IMG_20170517_205137_254.JPG
 
Back
Top Bottom