ayubu ebenezer
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 350
- 208
Uchawi vp umepungua?Mimi nipo Kijiji cha Itete, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro
shughuli kubwa za kiuchumi katika eneo hili ni kilimo cha mpunga, na uvuvi wa samaki katika mto kilombero. Vile vile wapo ndugu zetu wakisukuma ambao wanajishughulisha sana na ufugaji wa ng'ombe ila kwa sasa wengi wao wamechangamka tofauti na miaka ile ya nyuma. Wengi wao kwa sasa wanamiliki frame zao za maduka maeneo ya Ifakara.
karibuni sana mje muwekeze kwenye Kilimo, maeneo ya kulima bado mengi mno.
Tanga lushotoYani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
Hahahahaaa Hilo Ni Tatizo La Kisaikolojia Kuwa Dar Ndio Kila KituYani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
Wengine tupo tarime tunalima bangeYani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
Mimi nipo Kijiji cha Itete, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro
shughuli kubwa za kiuchumi katika eneo hili ni kilimo cha mpunga, na uvuvi wa samaki katika mto kilombero. Vile vile wapo ndugu zetu wakisukuma ambao wanajishughulisha sana na ufugaji wa ng'ombe ila kwa sasa wengi wao wamechangamka tofauti na miaka ile ya nyuma. Wengi wao kwa sasa wanamiliki frame zao za maduka maeneo ya Ifakara.
karibuni sana mje muwekeze kwenye Kilimo, maeneo ya kulima bado mengi mno.
uchawi upo popote pale ndani Nchi hui, so siwez sema umepungua au umeongezeka.Uchawi vp umepungua?
Benk zipo za CRDB NA NMBMkuu navutiwa na biashara maeneo ya Ifakara , nafikiria kuja kufungua biashara huko... Nataka kupata habari zaidi za Ifakara , naweza kucheki wapi.. NBS watanipatia statistics za watu..
Lakini nataka kujua idadi ya maduka, ofisi za serikali, huduma muhimu za kijamii, kama mabenki, guest house , hotel.