Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Mimi nipo Kijiji cha Itete, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro
shughuli kubwa za kiuchumi katika eneo hili ni kilimo cha mpunga, na uvuvi wa samaki katika mto kilombero. Vile vile wapo ndugu zetu wakisukuma ambao wanajishughulisha sana na ufugaji wa ng'ombe ila kwa sasa wengi wao wamechangamka tofauti na miaka ile ya nyuma. Wengi wao kwa sasa wanamiliki frame zao za maduka maeneo ya Ifakara.
karibuni sana mje muwekeze kwenye Kilimo, maeneo ya kulima bado mengi mno.
Uchawi vp umepungua?
 
Mbona mi nipo mayai ya mbu kari9bu na nzi street.wilaya ya kipindupindu.mkoa wa homa nchi ya TB kwa wale wanaopataga zerooooo na kazini wamejaa teleee.nchi tulizopakana nazo ni umaskini,ujinga,elimu na maradhi.
 
Mimi nipo Kijiji cha Itete, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro
shughuli kubwa za kiuchumi katika eneo hili ni kilimo cha mpunga, na uvuvi wa samaki katika mto kilombero. Vile vile wapo ndugu zetu wakisukuma ambao wanajishughulisha sana na ufugaji wa ng'ombe ila kwa sasa wengi wao wamechangamka tofauti na miaka ile ya nyuma. Wengi wao kwa sasa wanamiliki frame zao za maduka maeneo ya Ifakara.
karibuni sana mje muwekeze kwenye Kilimo, maeneo ya kulima bado mengi mno.

Mkuu navutiwa na biashara maeneo ya Ifakara , nafikiria kuja kufungua biashara huko... Nataka kupata habari zaidi za Ifakara , naweza kucheki wapi.. NBS watanipatia statistics za watu..
Lakini nataka kujua idadi ya maduka, ofisi za serikali, huduma muhimu za kijamii, kama mabenki, guest house , hotel.
 
Benk zipo za CRDB NA NMB
Maduka yapo ya kila aina, na bidhaa zote zinapatikana. Ukitaka kulima ardhi ipo yakutosha.Usafiri wa uhakika wa kwenda nje na ndani ya Morogoro unapatikana
 
Wanaume wa dar wamejaa humu.
.
.
Mimi nipo geita!
 
Back
Top Bottom