Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Napafahamu huko nimekaa miaka takribani 2, umenikumbusha maeneo kama mbingu, ulanga, malinyi, kiberege, chita, kisawasawa, ifakara mjini, mlimba n.k. changamoto ya huko kubwa ni barabara na kwa mara ya kwanza wilaya ya kilombero na jimbo la mlimba wamepata wabunge kutoka upinzani (CHADEMA)
 
Safari ijayo tunataka na majimbo ya ulanga yachukuliwe na upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…