T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Kolomije Baby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napafahamu huko nimekaa miaka takribani 2, umenikumbusha maeneo kama mbingu, ulanga, malinyi, kiberege, chita, kisawasawa, ifakara mjini, mlimba n.k. changamoto ya huko kubwa ni barabara na kwa mara ya kwanza wilaya ya kilombero na jimbo la mlimba wamepata wabunge kutoka upinzani (CHADEMA)Mimi nipo Kijiji cha Itete, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro
shughuli kubwa za kiuchumi katika eneo hili ni kilimo cha mpunga, na uvuvi wa samaki katika mto kilombero. Vile vile wapo ndugu zetu wakisukuma ambao wanajishughulisha sana na ufugaji wa ng'ombe ila kwa sasa wengi wao wamechangamka tofauti na miaka ile ya nyuma. Wengi wao kwa sasa wanamiliki frame zao za maduka maeneo ya Ifakara.
karibuni sana mje muwekeze kwenye Kilimo, maeneo ya kulima bado mengi mno.
harafu niliuandika nikiwa barhahahahaha huu uzi umeninogea
hahaahahaahahaahahahharafu niliuandika nikiwa bar
Mbulu mojauko vizuri. kaskazini kubwa
For sure, my beautiful and wonderful city Dar es Salaam, love you!watu wa dar ni wengi wako vizuri.
We unaumwa mahali ww!!!Mi naona km masoro Wa r chuga ndio wamejaa humu
Temeni povu km mtamind
[emoji144]
Mkuuu mama John kuna iyo biashara .cjawai kujuaMama john wanakotokea wauza papuchi pale carnival[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
For sure, my beautiful and wonderful city Dar es Salaam, love you!
Mbulu moja
Sidhani kama mikoani kuna wajanja.Hata mimi uwaga nahisi wajanja wote wa Tz wanaishi Dsm kumbe na wa mikoani mupo dah
Safari ijayo tunataka na majimbo ya ulanga yachukuliwe na upinzaniNapafahamu huko nimekaa miaka takribani 2, umenikumbusha maeneo kama mbingu, ulanga, malinyi, kiberege, chita, kisawasawa, ifakara mjini, mlimba n.k. changamoto ya huko kubwa ni barabara na kwa mara ya kwanza wilaya ya kilombero na jimbo la mlimba wamepata wabunge kutoka upinzani (CHADEMA)