Kwanini Nampenda Sana Dadii.....

Kwanini Nampenda Sana Dadii.....

I love u too my dota (ķatika rafudhi ya kinaija)

Hahahahahahaaa wewe Prince weewee, habari za siku tele!!?? Upoo!!?

My Dadii is very unique and special, I love him to infinity.

If am your daughter then you are my Daddy..... and he remains my Dadii.

Kasie Matata.
 
Nipo nipo mrembo Kasie
Nilivyoona dadii anamwagiwa sifa, nikajiseme hapana lazima nijivìke udadii wako.

Alafu kasie dadii anakupagä nini nina mashaka dunia imebadilika hii
 
Hahahahahahaaa acha fujoo, Mahaba lukuki kutoka kwa Dadii, mahaba tuu hakuna kingine....

Kwa jinsi anavyonitendea, hata hizi sifa naona hazimtoshi. Amenijaa moyoni akilini na dawamu, nampenda daima dumu milele.
 
Hivi kasie unaonaje nikimsaidia ďadii maana kama mahaba tu namì nitakuonyesha

Alafu mimi na dadii tulizaliwa mapacha ujue hata upendo na mioyo yetu inafanana sana

Ebu usiwe na haraka kaà utulie ufikirie kisha nipe majibu sawa kasiè mahaba
 
Hahahahahahaaa Kunta una hatari wewee, kama ulivyosema wala sifa ni haraka, ngoja weekend ijayo tutalijadili hili swala na Dadii, akikubali basi wewe utakuwa Dadii wangu mpya hehehehehhee.

Vipi jumapili yako lakini, iko sawia?
 
Kasie utatufanya wengine tujinyonge kwa wivu.. Huyu Dadii mbona unambebisha sana kila siku mahaba kibao mpaka unatutia wivu jamani..

I wish i could be Dadii ~ in stone's voice
 
Dadii hatoķuawa na pìngamizi kwahyo ondoa shake

Weeķend/ jpili ipo poa tu iĺa ingekuwa poa kama ungekuwa pembeni yangu nikiona tabasamu la kasie matataa
 
Hahahahahahaaa jamaniiii, tafadhali usiwe na wivu wa kutaka kujinyonga. Dadii anastahili haya mahaba, maana alikonitoa.... siku ananiambia "Lo u" siku ananipa kumbato nilikuwa down siku ananiambia ni kiasi gani ananipenda na niko tofauti na wanawake wengine wote na mie ndo chagua lake. .... Acha tuu nimpaishe kwa mahaba mia mia.

Dadii, shout out to you, I love you...... Mmuahh! !
 
Dadii hatoķuawa na pìngamizi kwahyo ondoa shake

Weeķend/ jpili ipo poa tu iĺa ingekuwa poa kama ungekuwa pembeni yangu nikiona tabasamu la kasie matataa

Basi sawa, mie nasubiria aje aweke muhuri hapa kisha tuendelee.

Aahahahahhahaaa ninavoitikia kwa upole utasema rahisi hehehehee, naanzaje kumuacha Dadii jamani, he knows me in and out and I love him the way he is.

We are all lucky to have each other..... We have a certain spirit which is mutual to one another.....

Good day to you best.
 
If love could have been downloaded and installed to your lover,almost every one would have his/her love affair updated to the lattest version of love...
 
Kama vipi tu-legalize maujanja huo muhuri nitachongesha nìgonge mimi

Unajua kasie matata kuna vitu vingine dadii hawezi kukupa hata kama anakupenda sasa ili uvipate hivyo utanihìtaji mimi

Good day Kasie
 
Shkamoo stephot
 
Hahahahahahaaa acha niimalizie siku na weekeend yangu vizuri.

Hapa najipampa na strawberry deeped in chocolate and icecream......

Usiku namalizia na zabibu aam aaam aaam taamuu.
 
Aaahhhh kumbe toto, basi mambo ya wakubwa waachie wakubwa zako hadi hapo utakapo balehe.
Nitabalehe nikifikisha miaka 13. Hivyo bado miaka 10 mbele yangu. Nikibalehe nitakufuata unifundishe mambo ya wakubwa
 
Geez....!! No thanks kid, whenever you see Kasie, just stay far away from Kasie to avoid bemend pollution.
 
Back
Top Bottom