Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
[emoji15] [emoji15]Mashangingi hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15]Mashangingi hayo
I love u too my dota (ķatika rafudhi ya kinaija)
Nipo nipo mrembo KasieHahahahahahaaa wewe Prince weewee, habari za siku tele!!?? Upoo!!?
My Dadii is very unique and special, I love him to infinity.
If am your daughter then you are my Daddy..... and he remains my Dadii.
Kasie Matata.
Nipo nipo mrembo Kasie
Nilivyoona dadii anamwagiwa sifa, nikajiseme hapana lazima nijivìke udadii wako.
Alafu kasie dadii anakupagä nini nina mashaka dunia imebadilika hii
Hivi kasie unaonaje nikimsaidia ďadii maana kama mahaba tu namì nitakuonyeshaHahahahahahaaa acha fujoo, Mahaba lukuki kutoka kwa Dadii, mahaba tuu hakuna kingine....
Kwa jinsi anavyonitendea, hata hizi sifa naona hazimtoshi. Amenijaa moyoni akilini na dawamu, nampenda daima dumu milele.
Hivi kasie unaonaje nikimsaidia ďadii maana kama mahaba tu namì nitakuonyesha
Alafu mimi na dadii tulizaliwa mapacha ujue hata upendo na mioyo yetu inafanana sana
Ebu usiwe na haraka kaà utulie ufikirie kisha nipe majibu sawa kasiè mahaba
Dadii hatoķuawa na pìngamizi kwahyo ondoa shakeHahahahahahaaa Kunta una hatari wewee, kama ulivyosema wala sifa ni haraka, ngoja weekend ijayo tutalijadili hili swala na Dadii, akikubali basi wewe utakuwa Dadii wangu mpya hehehehehhee.
Vipi jumapili yako lakini, iko sawia?
Kasie utatufanya wengine tujinyonge kwa wivu.. Huyu Dadii mbona unambebisha sana kila siku mahaba kibao mpaka unatutia wivu jamani..
I wish i could be Dadii ~ in stone's voice
Dadii hatoķuawa na pìngamizi kwahyo ondoa shake
Weeķend/ jpili ipo poa tu iĺa ingekuwa poa kama ungekuwa pembeni yangu nikiona tabasamu la kasie matataa
Hata kusex sijawahiKwa hiyo huna mbegu!!??
Kama vipi tu-legalize maujanja huo muhuri nitachongesha nìgonge mimiBasi sawa, mie nasubiria aje aweke muhuri hapa kisha tuendelee.
Aahahahahhahaaa ninavoitikia kwa upole utasema rahisi hehehehee, naanzaje kumuacha Dadii jamani, he knows me in and out and I love him the way he is.
We are all lucky to have each other..... We have a certain spirit which is mutual to one another.....
Good day to you best.
Kama vipi tu-legalize maujanja huo muhuri nitachongesha nìgonge mimi
Unajua kasie matata kuna vitu vingine dadii hawezi kukupa hata kama anakupenda sasa ili uvipate hivyo utanihìtaji mimi
Good day Kasie
Nitabalehe nikifikisha miaka 13. Hivyo bado miaka 10 mbele yangu. Nikibalehe nitakufuata unifundishe mambo ya wakubwaAaahhhh kumbe toto, basi mambo ya wakubwa waachie wakubwa zako hadi hapo utakapo balehe.