Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari yako.Nani tena....
Hëhehehehehe kwahiyò weekend hii unaimaliza hivyo tuHahahahahahaaa acha niimalizie siku na weekeend yangu vizuri.
Hapa najipampa na strawberry deeped in chocolate and icecream......
Usiku namalizia na zabibu aam aaam aaam taamuu.
Thnks you.Karibuu
Kama maandalizi ndo hayo hakika wakubwa ndo wenye kufaidi grade one product, sisi wengine tutafanya makamuzi ýa mashudu tuHahahahahahaaa acha uchokozi banaa, haya ni maandalizi ya makamuzi. ....
Shurti mwili uwe laini lainii
Kama maandalizi ndo hayo hakika wakubwa ndo wenye kufaidi grade one product, sisi wengine tutafanya makamuzi ýa mashudu tu
Haahahahahaha daah!Hahahaaa umenikumbusha kitu.....
Wale wauza mitumba; mpende mwanao mpende mwanao mpende mkeo ...... Ila sikuwahi kusikia mpende mmeo aahahahahhaaa
Wanawake na watoto stahiki yao kutunzwa halafu Dadii anakuja kula vitu lainii taaamuuu.
Kwa bahati mbaya sikielewi kiingilish! Lakini nadhani umekubali ombi langu la kuwa kiBen10 miaka 10 ijayo. I thank you in advanceGeez....!! No thanks kid, whenever you see Kasie, just stay far away from Kasie to avoid bemend pollution.
Dadii asizoee kula kila siku vitu laini na vitamu maaana ipo sio atavikosa alafu ataanžisha utata kwa mtoto matataNi mtata haswaa
Sijakupata hapo paragraph ya mwisho...
Dadii asizoee kula kila siku vitu laini na vitamu maaana ipo sio atavikosa alafu ataanžisha utata kwa mtoto matata
He's full of plenty of mahaba techniques[emoji50][emoji50]!!!!Vitu laini vikikosekana there's always plan B which is his secret. He's full of plenty of techniques, he never fails.