Kwanini Nampenda Sana Dadii.....

Kwanini Nampenda Sana Dadii.....

Ni mwendo wa mahaba kwa kwenda mbele, kama ulikuwepo enzi hizi nyimbo zinapigwa utajikuta aidha untabasamu au unatikisa mguu....

Shake you down baby.
 
Kasiee,

Kijana nina nguvu nasubiri neno lako na moyo wangu utuliee[emoji7][emoji7][emoji7]
 
Hhahahahahaa naona hukati tamaa, haya ongeza bidii tuone kama utafanikiwa.
Sasa naanzaje kùkata tamaa mamaa, yaani nikose mahaba matataa

Alafu kasie sogea huku kivuli chini ya mţi tuongee vizuri hapo njiani utagongwa na bodaboda zinazopita
 
Kasiee,

Kijana nina nguvu nasubiri neno lako na moyo wangu utuliee[emoji7][emoji7][emoji7]

Hhahahahahaaa niseme nini tena Mangii, sema kile wataka kusikia kutoka kwa Kasie.

Moyo wa Mangi ukichepuka kupenda usiache njia kuu ya kusukuma damu, bado Mangi anahitajika tafadhali.
 
Mahaba kama yoteeee
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hhahahahahaaa niseme nini tena Mangii, sema kile wataka kusikia kutoka kwa Kasie.

Moyo wa Mangi ukichepuka kupenda usiache njia kuu ya kusukuma damu, bado Mangi anahitajika tafadhali.
 
Sasa naanzaje kùkata tamaa mamaa, yaani nikose mahaba matataa

Alafu kasie sogea huku kivuli chini ya mţi tuongee vizuri hapo njiani utagongwa na bodaboda zinazopita

Wee Kunta wewee, unakoelekea huko.... shauri yako hehehhehee

Nimeitwa kula zabibu ...... back soon
 
Kuntaa looh, ndo naachiwa saa hizi tangu muda ule.... narembua tuu hapa usingizi unasikia hatamu muda si muda.
Hahahaahaha uzuri wa mimi sina wivu hata kidogo, muda wangù ukifika sikuachii na yeye hatopata nafasi tena

Kwahyo atumie vizuri muda wa sasa
 
Hahahaahaha uzuri wa mimi sina wivu hata kidogo, muda wangù ukifika sikuachii na yeye hatopata nafasi tena

Kwahyo atumie vizuri muda wa sasa

Hahahahahhaaa Kunta wewee, una makomfooo looh..!!

Umenikumbusha tamthilia/ movie ya Kunta Kinte.....
 
Back
Top Bottom