Kwanini nashindwa kuwachukia Waarabu

Kwanini nashindwa kuwachukia Waarabu

Kachinje nguruwe ule kwanza ndo uje uelezee uziri na ubaya wa waarabu.
 
Hao waliokufanyia hivyo ni asilimia ngapi ya waarabu waliopo duniani?

Yule aliyemnyea binadamu mwenzie mdomoni ni Mwarabu pia

Wale wanaojitoa mhanga kufa na watu wengine wakiamini watapata thawabu akhera pia ni waislam.
Mkuu acha wivu wa uke wenza jamaa kaamua kuelezea wema wa hawa watu, kiukweli hata ukienda kwenye maduka yao siku za ijumaa wanakua wametenga kabisa misaada kwa idadi kamili

Mfano kama ijumaa hii kapanga kiwasaidia watu 10 basi wanaweka kabisa mafungu 10 na wahitaji hupita kuchukua, wakizidi huwaambia kabisa leo nimemaliza basi wahitaji huhamia duka jingine

Ila kama wewe kuna waarabu waliokutendea hayo unayoyasema anzisha uzi wako usivamie vyoo vya kukaa wakati unaharishiaga maporini shwain....
 
King leopard unajua ukatili alioufanya kongo?
Vipi yule dada mwenye makalio makubwa waliomsafirisha mpk ulaya na kumweka na kung'amua mtu wa maonyesho wakimtumia kingono na kuchezea makalio yake ?

Vipi Ota Benga wazungu walimsafirisha ulaya na kumuweka kwenye makumbusho ya sokwe na kumfanya kama kivutio cha utalii ?
Hawezi kukujibu abadani..
 
Habari wakuu
Mi nimzaliwa wa kwanza Kwa single mother(mkristo) ambaye alikua anafanya kazi za ndani Kwa wa'arabu(DSM). Mama yangu aliofanya kazi Kwa wale waarabu ikiwemo,kuwaanda watoto shule,kuwapikia familia na wafanyakazi,kusafisha nyumba na kuhakikisha usalama wa nyumba(wakisafiri).

Mama angu alianza kazi baada ya kuachika Kwa Mzee wangu wakati Mimi Nina miaka 4,shule ya msingi nilisoma kinondoni mpaka darasa la 3 ndipo waarabu kupitia kumuonea huruma mama'angu wakaamua kunisomesha wao private school kuanzia la nne kwenye shule mpya na Bora Yemen English medium(chang'ombe opposite na DUCE,2003) kuanzia la nne mpaka la Saba(2006) bila kulipia chochote na nilifaulu secondary kigamboni ila wakaendelea kunidhamini secondary private nilisoma shaaban Robert (form 1-4) mpaka nilipofaulu A level Tanga school.

Kipindi chote hiko mama'angu alikua akirudi kazini anarudi na misosi,wakitoa sadaka tunapewa,nguo za mitumba,nilikua na marafiki na connection Yao, sikujiona mpweke.

Mpaka Leo hii najitegemea ila msaada wao nikiuhitaji naupata,wale waarabu hawakujali kabila langu au nilipotokea. Nilicheza na watoto wao(mpaka Leo washkaji),nilitumia toys zao wakati mdogo,niliendesha magari Yao,tulialikwa harusi zao,walikuja misiba yetu na kadhalika.

Hata maramoja sikuwahi kujihisi kama wao watu tofauti na sisi na sijawahi kuona watu wanaoutumia utajiri wao kuwasaidia masikini kama wao. Nimekuja mkubwa hivi na Akili zangu ndio nagundua Ile familia ilisaidia,kusomesha,kutibia familia nyingi sana masikini. Ile familia ya kiarabu ilinifundisha UTU na kua HUMBLE sababu maisha haya yanapita tu.

Japo mama'angu kastafu kUfanya kazi ila hata Leo zile connection nilizopata Kwa kusoma zile shule tu walizonisaidia waarabu zinasaidia sana,Leo hii Nina marafiki matajiri(ambao ni marafiki kweli),marafiki walio nje ya Nchi(wana ni appreciate),marafiki walisoma sana,wenye nyadhifa mbali mbali sector binafsi na serikalini. Sipati picha ningesoma kayumba kama uwezo wa mama angu maana.
Siku ukigundua kuwa huyo boss wa mama alikuwa ni babako mdogo sijui mkubwa utaelewa somo
 
Point ni ile ile, duniani tupo wema na wabaya, mtu akija kukwambia waarabu, wazungu au waafrika ni wabaya basi kuna tatizo hapo, inawezekana huyo mtu ana tatizo au kikundi kidogo flani cha jamii flani kina tatizo so haimaanishi kuwa jamii ile yote iko vile
Umeongea ukweli kabisa,mimi huwa naamini kila jamii ina mazuri yake na maovu yake,ni vizuri kuchukua mazuri ya kila jamii na kuyafanyia kazi.Kiufupi napenda sana jinsi Wahindi na Waarabu wanavyozipenda familia zao na kuwa karibu nao.Sio sisi unakuta Baba karudi kalewa,hapo ni kutukana mitusi tu
 
Habari wakuu
Mi nimzaliwa wa kwanza Kwa single mother(mkristo) ambaye alikua anafanya kazi za ndani Kwa wa'arabu(DSM). Mama yangu aliofanya kazi Kwa wale waarabu ikiwemo,kuwaanda watoto shule,kuwapikia familia na wafanyakazi,kusafisha nyumba na kuhakikisha usalama wa nyumba(wakisafiri).

Mama angu alianza kazi baada ya kuachika Kwa Mzee wangu wakati Mimi Nina miaka 4,shule ya msingi nilisoma kinondoni mpaka darasa la 3 ndipo waarabu kupitia kumuonea huruma mama'angu wakaamua kunisomesha wao private school kuanzia la nne kwenye shule mpya na Bora Yemen English medium(chang'ombe opposite na DUCE,2003) kuanzia la nne mpaka la Saba(2006) bila kulipia chochote na nilifaulu secondary kigamboni ila wakaendelea kunidhamini secondary private nilisoma shaaban Robert (form 1-4) mpaka nilipofaulu A level Tanga school.

Kipindi chote hiko mama'angu alikua akirudi kazini anarudi na misosi,wakitoa sadaka tunapewa,nguo za mitumba,nilikua na marafiki na connection Yao, sikujiona mpweke.

Mpaka Leo hii najitegemea ila msaada wao nikiuhitaji naupata,wale waarabu hawakujali kabila langu au nilipotokea. Nilicheza na watoto wao(mpaka Leo washkaji),nilitumia toys zao wakati mdogo,niliendesha magari Yao,tulialikwa harusi zao,walikuja misiba yetu na kadhalika.

Hata maramoja sikuwahi kujihisi kama wao watu tofauti na sisi na sijawahi kuona watu wanaoutumia utajiri wao kuwasaidia masikini kama wao. Nimekuja mkubwa hivi na Akili zangu ndio nagundua Ile familia ilisaidia,kusomesha,kutibia familia nyingi sana masikini. Ile familia ya kiarabu ilinifundisha UTU na kua HUMBLE sababu maisha haya yanapita tu.

Japo mama'angu kastafu kUfanya kazi ila hata Leo zile connection nilizopata Kwa kusoma zile shule tu walizonisaidia waarabu zinasaidia sana,Leo hii Nina marafiki matajiri(ambao ni marafiki kweli),marafiki walio nje ya Nchi(wana ni appreciate),marafiki walisoma sana,wenye nyadhifa mbali mbali sector binafsi na serikalini. Sipati picha ningesoma kayumba kama uwezo wa mama angu maana.
Waaarabu nimakatiri na wabaguzi sana...hilo limo kwenye damu yao sio watu wa kuwachekea.
20220614_184343.jpg
 
Hao waliokufanyia hivyo ni asilimia ngapi ya waarabu waliopo duniani?

Yule aliyemnyea binadamu mwenzie mdomoni ni Mwarabu pia

Wale wanaojitoa mhanga kufa na watu wengine wakiamini watapata thawabu akhera pia ni waislam.
Hapa wanazungumziwa waarab au waislam? Mbona unachanganya mafaili dada?
 
Mtoa mada kwa hiyo waliotendewa ubaya na waarabu unawashaurije? Vipi wazungu, wachina wahindi unawachukia?
 
Kwani kunaulazima wa kuwachukia? Waarabu ni kama watu wengine tu. Kuna wema na wabaya.
 
Hao waliokufanyia hivyo ni asilimia ngapi ya waarabu waliopo duniani?
Hoja yako hapa ni ipi Azarel?
Yule aliyemnyea binadamu mwenzie mdomoni ni Mwarabu pia
Kile ni kitendo kichafu sana, na ile ni aina katika bizarre porn. Hakihusiani na rangi ya mtu wala kabila. Ni jambo ovu ambalo hakuna jamii yoyote iliyostaarabika inakubaliana nalo. Uislam unapinga Fawaahisha na kuviharamisha., na wewe japo huupendi Uislam ila nafsi yako ni shahidi wa hili (kuwa mambo yale yameharamishwa na Uislam) ila chuki inakufanya usiwe muadilifu. Hata mbali na Uislam tu, hakuna desturi ya Waarabu inakubaliana na lile. Bali yale ni matendo machafu mfano wa matendo mengine machafu yanayofanywa na baadhi ya watu wanaofuata matamanio ya nafsi zao bila kujali rangi wala makabila ya watu hao.
Wale wanaojitoa mhanga kufa na watu wengine wakiamini watapata thawabu akhera pia ni waislam.
Sijajua kwanini umetoa mfano huu kumpinga mtoa mada.

Kwani Uislam wenyewe unasema nini kuhusu kujitoa mhanga? Hapo mwanzo ulimuuliza mleta uzi kuwa waliomsaidia ni asilimia ngapi ya Waarabu duniani, nami nikuulize hao wanaojitoa mhanga na wale wenye fikra hizo ni asilimia ngapi ya Waislam duniani?
 
Huwezi kusema unampenda Mungu usiyemuona wakati unachukia wanadamu wenzako. Tupendaneni tu, dini, rangi au kabila ni ukamilifu wa Mungu unaonekana katika tofauti zetu.
 
Hoja yako hapa ni ipi Azarel?

Kile ni kitendo kichafu sana, na ile ni aina katika bizarre porn. Hakihusiani na rangi ya mtu wala kabila. Ni jambo ovu ambalo hakuna jamii yoyote iliyostaarabika inakubaliana nalo. Uislam unapinga Fawaahisha na kuviharamisha., na wewe japo huupendi Uislam ila nafsi yako ni shahidi wa hili (kuwa mambo yale yameharamishwa na Uislam) ila chuki inakufanya usiwe muadilifu. Hata mbali na Uislam tu, hakuna desturi ya Waarabu inakubaliana na lile. Bali yale ni matendo machafu mfano wa matendo mengine machafu yanayofanywa na baadhi ya watu wanaofuata matamanio ya nafsi zao bila kujali rangi wala makabila ya watu hao.

Sijajua kwanini umetoa mfano huu kumpinga mtoa mada.

Kwani Uislam wenyewe unasema nini kuhusu kujitoa mhanga? Hapo mwanzo ulimuuliza mleta uzi kuwa waliomsaidia ni asilimia ngapi ya Waarabu duniani, nami nikuulize hao wanaojitoa mhanga na wale wenye fikra hizo ni asilimia ngapi ya Waislam duniani?
Upo smart sana ,umejibu taratibu na kwa kubainisha wazi tena kwa hoja na kutumia vigezo vyake mwenyewe bila kejeli wala lugha kali . Na hivi ndivyo Jf na watu wenye akili wanatakiwa wawe.
 
Back
Top Bottom