Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

Akili mbovu
 
Mkuu uko sawa mm sioni kosa wew kutoa wazo lako na nn unakiona ni vile chama chako inakuwa ya kidemocrasia ndio ikuzuie wew kutoa mtazamo wako hapna uko sahih na hoja zako mnk hta ukiwauliza humu ndani sababu Ni zipi russian kuivamia urkraen hawana watishia kulaumu tu

Back to cdm .cdm mko very bias saan leo twiter nimeona msigwa Peter akilalamika kulaumiwa kwa kutoa mtazamo wake dhid ya ngoro ngoro hiki kichama nashindwa kukielewa kina mtqzamo gani ktk Uhuru wa mtu binafsi kutoa maoni yake
 
Kwa Yerico anaye jitanabaisha kuwa ni mpenda haki na demokrasia, kusikia anaunga mkono mambo yasiyo ya kidemokrasia kama hivi, inatia shaka.
Bila shaka alikuwa anamuunga mkono jiwe, ila walipishana maslahi binafsi
 
Sijui ni nani alisema, ila huu uzi umethibitisha kuwa ni kweli siku hizi "common sense is not common".
 
Watanzania wengi wanapenda ushabiki, hawapendi kusoma. Hawajui hata makubaliano kati ya urusi na marekani ambayo pia yalimlazimisha mrusi kuondoa silaha zake cuba.
Putin anatakiwa kuwalinda urusi tena alitakiwa kumpa ukraine kipigo cha maana ili nato na un wafikirie mara mbilimbili wanachotaka kuwafanyia urusi.
Hatukusikia chochote irak, libya. Syria . Yemen, ethiopia na kwingineko ambako raia wasio na hatia wanauawa. Ila sasa tunaona mpaka uefa na fifa wamekuja juu.
 
Uchambuzi Mzuri sana huu,hongera kamanda.
 
Wakati Iraq, Afghanistan, Iran, Syria na Libya wakiachwa yatima wajane/wagane na magofu tulikuwa kimya tukimshabikia baba wa demokrasia.

Alivyoingilia uhuru na uchumi wa Cuba na Venezuela kisa tu Russia alikuwa na interests huko, tulikuwa tukimsifu kama super power!!

Leo hii Russia anafanya kutetea interests zake na kuondoa mianya ya adui kuweka silaha za maangamizi mpakani mwake, tunamuona mwendawazimu.

Binafsi naunga Russia mkono kwenye ku-neutralise Ukraine na kuharibu military infrastructure, lakini sio kuua civilians.
 
Umewaza kama mimi, unapingaje matendo ya jiwe na kuunga mkono ya Putin ?
Kwa Yerico anaye jitanabaisha kuwa ni mpenda haki na demokrasia, kusikia anaunga mkono mambo yasiyo ya kidemokrasia kama hivi, inatia shaka.
Bila shaka alikuwa anamuunga mkono jiwe, ila walipishana maslahi binafsi
 
Safi sana mchango Mzuri sana huu.
Kwa kifupi USA ana wivu na Urusi,hivyo akamwekea mitego miwili kuuza gesi ulaya lakini Ukraine ajiunge NATO,ama apoteze soko la gesi lakini Ukraine Asijiunge NATO.
Urusi na Putin ni clever wameamua kujenga heshima,Ukraine hajiungi NATO.
Hii imewapa hofu USA hawakutegemea maamuzi ya confidences namna hii,maana walidhani atakua mnyonge kuokoa soko la gesi kwa kuogopa kuigusa Ukraine na kuiacha ifanye inavyotaka hata kujiunga na NATO.
Kwa Hali hiyo Putin amechagua kulinda Mipaka na usalama wa Russia.hayo ndio maamuzi ya kiongozi mzalendo.
 
Dunia haijawahi kuwa na wababe wawili au zaidi. Kila mara anakuwepo mbabe na wengine wanajitahidi kumshusha. Kwa Sasa USA Hana mpinzani.
 
PUTIN ana Point....,

NATO / America ni Wanafiki...

War is the Last Resort ambayo sidhani kama ilikuwa imeshafikiwa..., Kwahio ni vigumu sana kwangu kuunga mkono Vita ila Putin has a Point, na Raia wengi wa Pande zote hawana Hatia (caught in crossfires)

I am a believer everything can be sorted Diplomatically na as People we are Civilized enough to resort to barbaric measures (but that's human nature)...,
 

Mpaka retired US senior army officer and former national security advisor anadhani Ukraine mwenyewe amejitafutia hiko kichapo aachiwe mziki wake apate akili.

Kama ilivyo kwa US aitokubali nchi nyingine iweke kambi ya kijeshi ndani ya CUBA, so is Russia with Ukraine.

US na NATO ni wachokozi na Ukraine scapegoat wakujitakia.
 
Kama hoja ni nato au marekani kwa "makosa" yake huko syria au iraq au libya , au kama shida ni nato au marekani kwa wanayotaka kuyafanya na ukraine, basi uamuzi sahihi kwa putin na nyie mnaomuunga mkono ilikuwa ni kuwavamia hao nato na marekani kuua watu wao na kuharibu nchi zao, sio ukraine, kwanini chuki zenu kwa nato na marekani mnazipeleka kwa wanyonge ukraine, kila sababu mnazotoa mnahusisha matendo ya marekani , kamvamie sasa huyo marekani ili apate haki yake. Hamma hoja team putin ubabe wa ki hitler huo
 
Safi sana hii inaonesha kuwa watu wenye akili Afrika bado wapo.
Huu mchango wako ni WA akili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…