Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
AmenTena ni maji yaliyo hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenTena ni maji yaliyo hai
Ndio maeneo hayo hayo mkuuArusha maeneo ya Jacaranda hadi Impala iko mingi sana
Kumbe wewe mtoto wa kishua?Ndio maeneo hayo hayo mkuu
Yesu ni mti wa uzima, Ufunuo 22:2Kwasababu yeye ni chakula cha uzima
AmenYesu ni mti wa uzima, Ufunuo 22:2
Let him be blessed by my Lord Jesus ChristKuna raia moja wa Kilimanjaro anapenda kuingia jf kwa ajili yako.
Jamaa anakukubali haina mfano.
Ukiitaja jf yeye anataja Bujibuji halafu anacheeeka.
Cc Maxell Remy [emoji1787][emoji1787]
Shukrani kaka Bujibuji Simba Nyamaume nimepata faraja kubwa na ukomavu katika uvumilivuKwanini naupenda mti huu.
View attachment 2415649
Kuna historia kubwa sana ya mazingira niliyoishi kwenye udogo wangu .
Miti mingi ilikua ni hii , wenyewe tuliita mi Krismas
Kuchanua kwake kuliashiria holiday-sikukuu imekaribia ,
Na shule inakaribia kufungwa ,
Vilevile Krismas haikua mbali hivyo nguo , viatu vipya vinanukia .
Ni miti maalumu sana ,
Nikiona inachanua nafarijika kukumbuka mambo kemkem yaliyo burudisha maisha yangu zama hizo .
Kiimani .
Mti huu kwangu unafumbo la imani kwa waliokata tamaa.
Mti huu hunyauka kabisa kuanzia Julai , Agost , Septemba na Octoba ....ni mti ambao hukwepa ukali wa jua na ukame kwakuruhusu kupukutisha majani yote .
Huungua kabisa na hutia huruma .
Inapofika wiki ya 3 ya Octoba miti hiyo huchanua maua , na maua huendelea kuufunika mti usio na majani .
Kiimani ,
Mungu husema nasi kupitia mazingira kuwa katikati ya dhiki uskate tamaa .
Katikati ya mateso usikose tumaini ,
Hata unahisi dunia inakuelemea Mungu huleta faraja zake kwa namna aitakayo na apendavyo.
Mti huu kwangu hunifunza uvumilivu , kusamehe na kutojiumiza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Heshima kwa Samson Mwasakafyuka Ndwanga
Aiseee
Endelea kubarikiwa, kukua, kukomaa na kufanikiwa huku ukimpendeza Mungu na wanadamuShukrani kaka Bujibuji Simba Nyamaume nimepata faraja kubwa na ukomavu katika uvumilivu
Wanadamu kwa kadiri....Amen[emoji120]Endelea kubarikiwa, kukua, kukomaa na kufanikiwa huku ukimpendeza Mungu na wanadamu
Kuna Watanzania wa kawaida kabisa tunaishi maeneo hayo mkuu,inategemea eneo lilinunuliwa lini.Kumbe wewe mtoto wa kishua?
Ethiopian restaurant, Jacaranda, knight support, Mezaruna, 40/40 lounge...Impala?
Kwa Mawala Burka huku nimepiga kambi ..nimwendo wa how are you na JamboKumbe wewe mtoto wa kishua?
Ethiopian restaurant, Jacaranda, knight support, Mezaruna, 40/40 lounge...Impala?
Haha Kwa Mawala siku hizi uzunguni mkuuKwa Mawala Burka huku nimepiga kambi ..nimwendo wa how are you na Jambo
True aisee. Unaweza kumuona kama comedian fulani hivi, lakini ndani ya mistari yake kuna hekima kubwa sana broNi jamaa flani muungwana na hana makuu kabisa.
Huyu mtu unaweza kumchukukia poa lakini sivyo.
Ana kitu cha tofauti sana