Kwanini nawapa 100% Yanga SC kufuzu Robo Fainali CAFCC na Simba SC 200% kutofuzu Robo Fainali CAFCL?

Ningekuwa sina Akili ungehangaika Kunifuatilia hapa JamiiForums na Sura zangu zote Mbili za The CITIZEN na MWANANCHI? Najua unanikubali mno na Taarifa zote za Kimpira huwa unazipatia Kwangu Kudadadeki.
Tuondolee ushamba wako wa kujisifia sifia kama mwanamke kahaba. Mpira naujua kabla hujaja hapa mjini toka kwenu Manyovu nakuona fala tu.
 
Pole sana Mkuu.

Huyu jamaa ni wa kumuonea huruma tu, Kuna jambo halipo sawa kichwani mwake.

Ni kweli ingependeza sana atafute hata mwanasaikolojia tu anaweza tatua tatizo lake. Ikishindikana aende Lutindi kabisa.

Ushauri: Ndugu MINOCYCLINE hii anonymity isikufanye ujichetue akili (isikufanye uonekane mjinga mjinga). Tuliza akili yako. Kuna kitu hakipo sawa kwako.
 
Kwahiyo CAF wanaangalia matokeo ya mwisho wa ligi au msimamo kabla ligi haijaisha
Anayewajibika kuwasilisha majina ya timu shiriki ni shirikisho la soka nchi husika..

CAF anapelekewa majina tu
 
Anayewajibika kuwasilisha majina ya timu shiriki ni shirikisho la soka nchi husika..

CAF anapelekewa majina tu
Kwahiyo siku wakipelekewa Polisi Tanzania anayekaribia kushuka daraja Nako ni sawa tu?
 
Sawa lakini bado haiondoi ukweli kua Al ahly alipendelewa.
Alitakiwa aende shirikisho, caf ktk kumbeba ndo wakaja na kigezo cha kuangalia rankings. Ndo mna simba akaanza raundi ya awali wkt mwanzo kbs ratiba yao walisema ataanzia second rounds. Yote ili al ahly acheze klabu bingwa
 
Yanga kufungwa na TP Mazembe pale Lubumbashi ni kazi kubwa sana. Nafasi ya TP Mazembe kumfunga Yanga ni ngumu sana.
Yani mumfunge mazembe nje ndani????we unajua unachoongea kweli???[emoji1787][emoji1787]uchawi hauvuki maji ujue ohooooo
 
Ushamba na ulimbukeni unamsumbua huyu bwege
 
Kwahiyo Simba wao hawawezi kujiandaa kikamilifu wakapata matokeo nyumbani.
 
Yanga ashinde mechi zake mbili za nyumbani afu asifungwe zingi kwa chache na Mazembe anafuzu
 


Pole sana Mkuu watu wengi humu jukwaani wameisha mpuuza.

Anaonekana kama Huwa kinampanda mala kwa mala.

Mtindio wa ubongo ni ugonjwa hatari sana.
 
Sidhani kama hata ushawai kutabiri mvua kunyesha kulingana na hali ya hewa ikawa ni kweli maana umechochora vibaya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…