Kwanini nawapa 100% Yanga SC kufuzu Robo Fainali CAFCC na Simba SC 200% kutofuzu Robo Fainali CAFCL?

Horoya point 10😃😃😃😃
 
Tuma salamu kwa ndugu zako watatu wa karibu.
 
... Mwisho kabisa sababu kuu inayonipa jeuri kusema kuwa kwa 200% Simba SC haitofuzu na safari yao katika CAFCL imefika tamati (mwisho)
Sawa mzee wa 200% (ingawa kimahesabu huwa hakuna 200% katika hali uliyowasilishia hoja), nadhani leo kwa aibu ya nyuzi zako ambazo unajidai ni bora, sidhani kama utajitokeza hadharani. Utasubiri watu wasahau sahau ndipo uanzishe nyuzi za mechi ya Raja na mechi ya robo fainali
 
Popoma kwenye 1 na 2
 
Mimi sio muumini wa Magufuli. Lakini unaweza kukuta mleta mada ni mchepuko wa Magufuli. Hii nchi tuliwakabidhi wendawazimu....

Ee Mola twakuomba utusamehe...

Yote haya yako ndani ya mipango yako...

RIP Bob Junior... ulitutendea haki Simba wekundu wenzako....

Nguvu moja, mwiko kwao nyuma
 
Mkuu una hali gani kwa sasa?! [emoji23]
 
Mkiambiwa watu wa utopolo mna tatizo la afya ya akili
Mnakataa😂😂😂 Et 👇
"Nasisitiza ni juha tu pekee ndiyo hatokubali au hatoamini kuwa Horoya FC atafungwa"
 
Utabir wa nyoko a.k.a Papuchi Fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…