Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kasema hakipo kwasababu ya madudu yanayoendelea hapa bongo.Una uhakika hakipo....
Mfano kama kingekuepo mkataba wa dp world ungekuwepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema hakipo kwasababu ya madudu yanayoendelea hapa bongo.Una uhakika hakipo....
sikulazimishi.Acha kutupanga wewe Kwa TISS gani? walanguzi wamejaa kila sector wanapiga mihela na wala Amna wa kuwakamata Yani imefika hatua wafanyabiqshara wakubwa Wana watu wao ndani ya TISS wanajua kila kitu
Kipo BOT kinaitwa FISMuundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind.....tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Una ushahidi na hili Bandiko lako? Kitengo kipo Sema kimetawaliwa na walafiMuundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind.....tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Unataka kutuaminisha kuwa waziri hajui threats, kweli? Dah. Nimechoka kabisa.Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind.....tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Bandico lenyewe ni uchwara. Mleta hoja analeta masikhara sana. Uhuru umezidi mpaka mtu analeta takataka kuwalaghai wajinga.Una ushahidi na hili Bandiko lako?
Bring more substantial evidence. Acheni basi porojo zisizokuwa na ushahidi.Kasema hakipo kwasababu ya madudu yanayoendelea hapa bongo.
Mfano kama kingekuepo mkataba wa dp world ungekuwepo?
Umefika TISS ukakuta hicho kitengo hakipo? Au unataka tukutajie jina la Mkuu wa hicho kitengo?Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind.....tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Wenda kipo lakini kimejaa makada wa ccm! Kama kipo kwanini mikataba ya hovyo bado inasainiwa?Kipo mkuu FIU. Kipo chini ya wizara ya fedha kinashirikiana na BOT, Takukuru pamoja na TISS.
Mambo yanayofanyika mengi yapo chini ya kapeti, kama haujakiskia haimaanishi hakipo (Huwa hakitangazi ajira, staff wanakua recruited direct vyuoni au silence kama TISS)
Home | FIU - Financial Intelligence Unit
Home | The Financial Intelligence Unit (FIU) was established under section 4 of the Anti Money Laundering Act, Cap. 423 of 2006 (AMLA) to combat money laundering and the financing of terrorism | The Financial Intelligence Unit (FIU) was established under section 4 of the Anti Money Laundering...www.fiu.go.tz
Hao ni FIU (Financial Intelligence Unit), siyo Economic Intelligence Unit. Usichanganye madesaHizo nyingi sana, mwambie apokee milioni kumi (10m) na chanzo chake hakieleweki halafu aone kama jamaa wapo au hawapo!
Uko nje ya mada. Hiyo FIU inaangalia money laundering siyo economic Intelligence. Tasks za Economic Intelligence ni kama; search for, find, and collect information, and present information on the economic field for strategic interests in the national, regional and international spheres that are needed as input for determining policies and decision making in the context of national defense and security developmentKipo mkuu FIU. Kipo chini ya wizara ya fedha kinashirikiana na BOT, Takukuru pamoja na TISS.
Mambo yanayofanyika mengi yapo chini ya kapeti, kama haujakiskia haimaanishi hakipo (Huwa hakitangazi ajira, staff wanakua recruited direct vyuoni au silence kama TISS)
Home | FIU - Financial Intelligence Unit
Home | The Financial Intelligence Unit (FIU) was established under section 4 of the Anti Money Laundering Act, Cap. 423 of 2006 (AMLA) to combat money laundering and the financing of terrorism | The Financial Intelligence Unit (FIU) was established under section 4 of the Anti Money Laundering...www.fiu.go.tz
Nashukuru kwa kumuelewesha.Hao ni FIU (Financial Intelligence Unit), siyo Economic Intelligence Unit. Usichanganye madesa
Sasa kama kipo kwanini haya madudu yanaendelea kuwepo?Umefika TISS ukakuta hicho kitengo hakipo? Au unataka tukutajie jina la Mkuu wa hicho kitengo?
Unasema economic intelligence halafu unataka kiwe kwenye wizara ya mipango na uchumi? Hiyo haiwezi kuwa intelligence anymore.
Afrika inahatajiwa kutawaliwa bado Kama miaka Mia hivi labda wanaweza kuamka tokea usingiziniMuundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta.
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind. Tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
TISS ya kufanya hii kazi ni ipi,hii hii iliyojaa vijana wa UVCCM au tusubiri nyingine inakuja!Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta.
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind. Tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Emeelewa mada,hayo unayoyasema si ata Mwigulu Nchemba anaweza kufanya analysis!Ipo na inafanya kazi vizuri sana labda tu haifanyi kulingana na ambavyo ungependa wewe.
Hiyo idara ipo kila sector, mathalani katika bajeti ya serikali kuu lakini pia hata katika halmashauri intelijensia huashiria watakusanya kiasi gani katika mwaka wa fedha husika.
Lakini pia mfumuko wa bei, Bei ya mafuta, thamani ya sarafu na dola, hali ya hewani, ukiaji wa uchumi, njaa, ukame na hali za maisha ya watu na makazi intelijensia huonyesha ishara ya kukua, kuzorota au kuhatarisha hali za kisekta na hivyo tahadhari ya jumla katika sekta husika hutolewa.
Mbona ume-panic,kama kipo na kinafanya kazi kweli,basi huu upuuzi kwenye sekta ya Nishati usingekuwepo!Uleule ujuaji wa kishamba! Mkishaangalia series za Kimarekani basi mnajiona na nyie ni majasusi! Nenda TISS kawaulize kama kitengo hiki hakipo?
Ninyi ndiyo bado mnaamini kuwa MOSSAD, CIA, MI6 ndiyo mashirika bora ya kijasusi! Nenda kawaulize wenye taaluma yao wakwambie ukweli!