Strong Durable
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 474
- 700
Mnawezekana Mpo lakini kama Hampo Kazi yenu Kubwa kuvimba mtaani ndo kitu Mtu mweusi anajua Hana Cha kuongeza Zaidi ya hivyoPole sana kwa kutolijua hilo.
TISS.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnawezekana Mpo lakini kama Hampo Kazi yenu Kubwa kuvimba mtaani ndo kitu Mtu mweusi anajua Hana Cha kuongeza Zaidi ya hivyoPole sana kwa kutolijua hilo.
TISS.
hiyo ni intejensia, unachofikiri wew ni kitu kingine kabisa,Futa huu ujinga. Yaani halimashauri kuproject watapata mapato gani ndo intelligencia? Hivi kizazi hivi kinaenda wapi kwa akili za hovyo namna hii?
My friend nchi yetu hakuna kitu inachokosa, Intellijensia ya uchumi tunayo iliyosheheni wataalam wabobezi!.Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta.
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind. Tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Kinana Hana jinsi kwakua asipofanta hivyo wanapoteza kura. Tatizo siyo Kinana, Bali mfumo mzima wa nchi na siasa zetu.Angalia Mbarali, mwaka jana wamezuia wananchi kulima. Mwaka huu kwenye kampeni Kinana ameona hasira ya wananchi ametangaza mkakati wa kufuta maamuzi ya awali
Maana yake hakukuwa na utafiti kuhusu madhara bali waliishauri kujifurahisha tu
Kuna watanzania wengi sana wamefilisika kwasababu ya kushindwa kulindwa katika biashara zao na huo ufilisi unafanywa na mafia wachache ambao wanataka kuhodhi utajiri wa nchi hii. Mtu anayedharau intelijensia ya uchumi hajui hata huo uchumi unaathirika vipi locally na globallyhiyo ni intejensia, unachofikiri wew ni kitu kingine kabisa,
skiza, hata ukitaka kufungua biashara yako Lazima utumie intelijensia ya kiuchumi kujua utapata faida au hasara katika eneo husika.
Lazima uwe na intelijensia kujua kuna wateja au hukuna, wanahitaji bidhaa hii au ile.
unaelekezwa, unashupaza shingo akati hujui kitu.
kaa ivoivo ivo na mitusi na ujinga wako
Hii kazi ya afisa mdogo kabisa aliyesomea certificate ya marketing and sales ndiyo unaita intelijensia?hiyo ni intejensia, unachofikiri wew ni kitu kingine kabisa,
skiza, hata ukitaka kufungua biashara yako Lazima utumie intelijensia ya kiuchumi kujua utapata faida au hasara katika eneo husika.
Lazima uwe na intelijensia kujua kuna wateja au hukuna, wanahitaji bidhaa hii au ile.
unaelekezwa, unashupaza shingo akati hujui kitu.
kaa ivoivo ivo na mitusi na ujinga wako
intelijensia inaonyesha unanyapia nyapia wanafunzi sio tu wa certificate ya marketing hadi wa shule ya msingi, utaozea jela, shauli yako, acha tamaaHii kazi ya afisa mdogo kabisa aliyesomea certificate ya marketing and sales ndiyo unaita intelijensia?
Nahama nchi. Vijana mna dharau sana.
PumbavuUleule ujuaji wa kishamba! Mkishaangalia series za Kimarekani basi mnajiona na nyie ni majasusi! Nenda TISS kawaulize kama kitengo hiki hakipo?
Ninyi ndiyo bado mnaamini kuwa MOSSAD, CIA, MI6 ndiyo mashirika bora ya kijasusi! Nenda kawaulize wenye taaluma yao wakwambie ukweli!
Wapi wewe ,? , Intelijensia ya uvccm labdaKipo mkuu FIU. Kipo chini ya wizara ya fedha kinashirikiana na BOT, Takukuru pamoja na TISS.
Mambo yanayofanyika mengi yapo chini ya kapeti, kama haujakiskia haimaanishi hakipo (Huwa hakitangazi ajira, staff wanakua recruited direct vyuoni au silence kama TISS)
Home | FIU - Financial Intelligence Unit
Home | The Financial Intelligence Unit (FIU) was established under section 4 of the Anti Money Laundering Act, Cap. 423 of 2006 (AMLA) to combat money laundering and the financing of terrorism | The Financial Intelligence Unit (FIU) was established under section 4 of the Anti Money Laundering...www.fiu.go.tz
Vilaza hawa ,hamna wanachojua kwenye issues za uchumi .Kuna watanzania wengi sana wamefilisika kwasababu ya kushindwa kulindwa katika biashara zao na huo ufilisi unafanywa na mafia wachache ambao wanataka kuhodhi utajiri wa nchi hii. Mtu anayedharau intelijensia ya uchumi hajui hata huo uchumi unaathirika vipi locally na globally
Huwezi kuwa na kitengo cha Financial and economics intelligence Halafu kila siku tunaingia mikataba ya kimangungo inayofilisi nchi ,tunaingia mikataba ya kipuuz at the end tunalipa mabilioni ya pesa kama fidia kwa kuvunja mikataba hiyo ,pesa ambazo zingeweza kutumika kuendeleza nchi .Intelijensia ya uchumi ni kitengo ambacho inabidi kuwe kama mboni ya jicho la taifa ,
Unafikiri nchi zilizoendelea zimefika pale kimiujiza ?
Wana watu na vitengo nyeti vya uchambuzi na intelligence ya uchumi na kutengeneza mikakati ya kuwezesha maendeleo ya kila sekta katika nchi ,kwa wenzetu hawa watu ndio final say kuhusu sera za kiuchumi .
Hapa mataaahira wasio na upeo wala weledi wowote wanafanya maamuzi yanayo affect uchumi na maendeleo ya mwananchi negatively kila siku , yet tupo tu na tunaona kawaida .
Taifa la maiti Tanzania
Ukiachana masuala ya intelegensia ya uchumi. watu wanafanya Mambo ya ovyo kule maofisini... Watu wanapiga pesa.., rushwa ipo nje nje. Watu wanawachomeka ndugu zao. Ukipelekwa central police kama pochi yako inasoma kesi hamna hata kama ushahidi upo. Mtaani wauza Ganda Wana protection ya washikaji zao mapolisi. Hata akichomeshwa siku mbili yupo mtaani tena anaendelea na biashara zake. Vijana wako hoi bin taabani.., ajira hamna, hamna uwezeshwaji wala mkakati wowote wa kuwasaidia vijana zaidi ya porojo na propaganda tu. Hii pia hainekani kama ni threat dhidi ya uhai na usalama na wa taifa au tishio dhidi usalama wa taifa ni pale tu inapotaka kupinduliwa serikali ya CCM. TISS wanafanya kazi gani...! kama hivi vitu watu wanavifanya bila uoga. Au ni ile informer wa TISS mwenyewe kwenye kila taasisi anajilikana, washikaji wakitaka kupiga bingwa wanamwendea na kumkatia kidogo...!Muundo wa Serikali ulivyo ni wazi hatuna kitengo kinachoratibu na kusimamia intelijensia ya uchumi.
Kama mipango yetu ingeongozwa na intelijensia ya uchumi maana yake sera zetu zingeeleweka hadi ngazi ya mtaa ila kwa sasa hata mawaziri hakuna ajuaye tuna threat na opportunity gani kisekta.
Kwanini kitengo hiki kisiundwe ndani ya wizara mpya ya mipango kikichukua majasusi kutoka vyombo vya dola, vyuoni, taasisi binafsi na wizara ya fedha! Kitengo hiki kikiwepo hata mwanasheria mkuu wa serikali hataruhusiwa kwenda kuingia mikataba ya DP world coz watakuwa wanafanya uchambuzi wa kila sekta, kuainisha intervention za kisekta pamoja na kucontrol kiu ya mwanasiasa.
Hiki kitengo ni muhimu sana kwa ulinzi wa uchumi wetu lakini pia kitatusaidia kuwabaini wanaotuhujum na kuwaweka wazi au kuwadhibiti.
Intelijensia ya jinai siyo kipaombele cha Dunia tena; Dunia inalindwa zaidi na economic power. Leo tunapoona kila dili likifeli means hatuna jicho la majasusi wenye business mind. Tuna majasusi wa jinai ambao ni consumers wa public funds kuliko kuimarisha vyanzo vya mkwamuo wa kiuchumi.
Let us invest kwenye ujasusi wa kiuchumi
Kwanza anawajua fsb au kgb muulize hivyo😂😂😂Uleule ujuaji wa kishamba! Mkishaangalia series za Kimarekani basi mnajiona na nyie ni majasusi! Nenda TISS kawaulize kama kitengo hiki hakipo?
Ninyi ndiyo bado mnaamini kuwa MOSSAD, CIA, MI6 ndiyo mashirika bora ya kijasusi! Nenda kawaulize wenye taaluma yao wakwambie ukweli!