Kwanini nchi haina Kitengo cha Intelijensia ya Uchumi?

Acha kutupanga wewe Kwa TISS gani? walanguzi wamejaa kila sector wanapiga mihela na wala Amna wa kuwakamata Yani imefika hatua wafanyabiqshara wakubwa Wana watu wao ndani ya TISS wanajua kila kitu
sikulazimishi.
bas sawa shupaza shingo vivyo hivyo, hujui kitu, unaeleweshwa unaleta kiburi,kaa ivoivo sasa ebo!😳
 
Kipo ila sidhani kama kinafanya kazi yake vile inavyotakiwa, na ndio maana mara kadhaa kama nchi tunajikuta tumeingia kwenye bogus treaties na contracts, hiki ni kiashiria kuwa jamaa hawafanyi kazi yao kwa ufanisi hasa kwenye mambo ya msingi, kutwa kufatilia acc za watu zimeingizwa kiasi gani kutoka nje alafu wanashindwa kulinda maslahi ya nchi.
 
Kipo BOT kinaitwa FIS
 
Una ushahidi na hili Bandiko lako? Kitengo kipo Sema kimetawaliwa na walafi
 
Unataka kutuaminisha kuwa waziri hajui threats, kweli? Dah. Nimechoka kabisa.
 
Umefika TISS ukakuta hicho kitengo hakipo? Au unataka tukutajie jina la Mkuu wa hicho kitengo?

Unasema economic intelligence halafu unataka kiwe kwenye wizara ya mipango na uchumi? Hiyo haiwezi kuwa intelligence anymore.
 
Wenda kipo lakini kimejaa makada wa ccm! Kama kipo kwanini mikataba ya hovyo bado inasainiwa?
 
Uko nje ya mada. Hiyo FIU inaangalia money laundering siyo economic Intelligence. Tasks za Economic Intelligence ni kama; search for, find, and collect information, and present information on the economic field for strategic interests in the national, regional and international spheres that are needed as input for determining policies and decision making in the context of national defense and security development
 
Umefika TISS ukakuta hicho kitengo hakipo? Au unataka tukutajie jina la Mkuu wa hicho kitengo?

Unasema economic intelligence halafu unataka kiwe kwenye wizara ya mipango na uchumi? Hiyo haiwezi kuwa intelligence anymore.
Sasa kama kipo kwanini haya madudu yanaendelea kuwepo?

Dp world, dowans, richmond nk nk?
 
Haipo kwenye kile kitabu...na walee jamaa hawana "utashi"..🙂
 
Shida n katiba. Bila mabadiliko ya katiba hatuwezi piga hatua maana watu wanachaguana wao kwa wao. Kwaio lazima walindane
 
Afrika inahatajiwa kutawaliwa bado Kama miaka Mia hivi labda wanaweza kuamka tokea usingizini
 
TISS ya kufanya hii kazi ni ipi,hii hii iliyojaa vijana wa UVCCM au tusubiri nyingine inakuja!
Hawa wa sasa kazi yao ni kuhakikisha viongozi wezi wa CCM wanalindwa kwa nguvu zote.
Angalia Michezo inayofanywa kwenye sekta ya Nishati ya umeme na Mafuta,ni taasisi gani ya intelligency inaweza kuvumilia upuuzi kama huo.
 
Emeelewa mada,hayo unayoyasema si ata Mwigulu Nchemba anaweza kufanya analysis!
 
Mbona ume-panic,kama kipo na kinafanya kazi kweli,basi huu upuuzi kwenye sekta ya Nishati usingekuwepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…