FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana.
Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala kama hayo.
Niwapongeze Kenya kwa kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa lao, sina hakika juu ya Uganda,DRC kama wanampango juu ya kufanya kiswahili lugha ya mataifa yao. Bila kuisahau mikoa ya kaskazini magharibi mwa Tz, ya Rwanda na Burundi.
Hebu oneni hata aibu jamani, seriously..
Rwanda na Birundi ni mikoa ya kaskazini mwa Tanzania ! Da ngoja waje.Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana.
Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala kama hayo.
Niwapongeze Kenya kwa kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa lao, sina hakika juu ya Uganda,DRC kama wanampango juu ya kufanya kiswahili lugha ya mataifa yao. Bila kuisahau mikoa ya kaskazini magharibi mwa Tz, ya Rwanda na Burundi.
Hebu oneni hata aibu jamani, seriously..
Umesahau kuwa kiswahili kina asili ya uarabuniKutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana.
Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala kama hayo.
Niwapongeze Kenya kwa kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa lao, sina hakika juu ya Uganda,DRC kama wanampango juu ya kufanya kiswahili lugha ya mataifa yao. Bila kuisahau mikoa ya kaskazini magharibi mwa Tz, ya Rwanda na Burundi.
Hebu oneni hata aibu jamani, seriously..
Hapa kwenye huu ujinga ndio huwa sitaki kabisa kusikia,utakuta watu wengine mpaka wanadharau wengine utadhani walizaliwa na dini hizo.Sio lugh tu hata dini ni za wakoloni...hivi hatuoni aibu..
Umuhimu unaouna wewe kutokana na life style ya ukoloni ulizaliwa ukaikuta.Mtafute Mrusi,Mu Germany au Mchina umweleze hivyo kama atakuelewa.Mkuu.. kuna kipindi tulikuwa tunatafuta soko la matunda katika ma supermarkt hapa DAR likiwepo tunda letu pendwa lililobeba Biashara yetu strawberry [emoji526] .. mkuu huko masupermarkt wamejaa wahindi na wazungu mkuu.. kama haujui KINGE- ung’eng’e mkuu hata wa kuzugia haufanyi biashara .. tukubali tukatae kuna umuhimu wa kujifunza hii lugha hata kama haitakuwa lugha yetu ya taifa MKUU
Tunawekana sawa tu. Hata kiswahili chenyewe aliyekirasimisha ni mkoloni. Yeye ndiyo alikitoa kwenye alphabeti za kiarabu na kukileta kwenye a, e, i, o,u na konsonati. Yeye ndiye alikinyambua na kutengenezea aina saba za maneno.....sijui nomino, vidamshi, vihangaya etc. Mkoloni alikopy kutoka kiingereza "seven parts of speech". Na alihakikisha makosa yaliyotokea kwenye kiinngereza, hayajirudii kwenye kiswahili. Mojawapo ya kosa kubwa la Engish waliloepuka ni neno kuandikwa tofauti na kutamkwa tofauti. Mfano, unaandika 'road' unatamka 'rod'. Huu ujinga waliufuta kwenye kiswahili. Ndiyo maana mzungu akija leo unaweza ukamuandikia kiswahili akakisoma utadhani anajua kitu. Wakoloni walikipanga kiswahili bana. Wale wa lingua nadhani tunaelewana.
Ni moja ya lugha zinazofundishika kiundani. Luhga nyingi ukiondoa ya malkia na baadhi ya luhga za ulaya, ukianza kujifunza unaanza na irabu kama siyo consonati then unaanza kutiririka na maneno. Huwezi kuzama deep kama kiswahili mpaka kwenye ma-adjustebo na ma-molankoyi huko.
Mkoloni ndiyo alikiunda kiswahili ili kifundishike. Na alianza kukifundisha upya. Na kwa wamatumbi ilikuwa ni lugha mpya. Kwenye kuandika ndiyo walianza kujifunza upya kabisaaaa, kama wameletewa kichina. Kumbuka kiswahili cha mwanzo kwenye maandishi kilitumia alphabeti za kiarabu.
Na kwa taarifa tu, wajumbe wa baraza la kiswahili kutoka Congo. Walijitoa kwenye baraza la kiswahili la Afrika mashariki na kati baada ya Shaban Robert kuchaguliwa kuwa mjumbe wa baraza la kiswahili. Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kiswahili kulegalega fasi ya Congo. Ikumbukwe kuwa baraza la kiswahili enzi za mkoloni lilikuwa na wazungu watupu, hasa makasisi wa kimisionari. Wawakilishi wa kutoka Congo hawakuamini kama mtu mweusi anaweza kuwa mtaalamu wa kiswahili, hivyo walipinga uteuzi wa Shaban Robert na wakajitoa.
Mafather wa kimissionari ndio waliandika hizi kamusi zote za kiswahili. Kiufupi wao ndio walizitunga. Na kiswahili kilitengenezwa, kilisimamiwa na mkoloni mpaka kikakaza na kikasimama. Mkoloni alikuwa anaenda kufuta mpaka lahaja zote na kubaki na moko. Toka Lamu mpaka Kampala kiswahili ni lahaja moja tu, sikumbuki alichagua lahaja ipi, ila alitaka akomae na lahaja moja tu. Na mkoloni angeweza coz alishaweza.
Kwakusema hayo basi, itoshe kusema 'ajabu ya mvita kuota mvinde'. Hichi kiswhili tunachojipigia upatu leo.....ni zao halali la mkoloni. Na nachelea kusema mnyonge myongeni laki credit zake tumpe.
Wakatabahu
Infopaedia.
Unaweza ukaanzishia uzi hayo, au we unaonaje? Ila kwenye uzi huu mimi nimechagua kipengele cha lughaMbona unatumia teknolojia ya kikoloni? Na umevaa nguo za kikoloni?
Umuhimu unaouna wewe kutokana na life style ya ukoloni ulizaliwa ukaikuta.Mtafute Mrusi,Mu Germany au Mchina umweleze hivyo kama atakuelewa.