Kwanini nchi nyingi za Afrika wanatumia lugha za wakoloni kama lugha za taifa, hivi hawaoni aibu?

Tunawekana sawa tu. Hata kiswahili chenyewe aliyekirasimisha ni mkoloni. Yeye ndiyo alikitoa kwenye alphabeti za kiarabu na kukileta kwenye a, e, i, o,u na konsonati. Yeye ndiye alikinyambua na kutengenezea aina saba za maneno.....sijui nomino, vidamshi, vihangaya etc. Mkoloni alikopy kutoka kiingereza "seven parts of speech". Na alihakikisha makosa yaliyotokea kwenye kiinngereza, hayajirudii kwenye kiswahili. Mojawapo ya kosa kubwa la Engish waliloepuka ni neno kuandikwa tofauti na kutamkwa tofauti. Mfano, unaandika 'road' unatamka 'rod'. Huu ujinga waliufuta kwenye kiswahili. Ndiyo maana mzungu akija leo unaweza ukamuandikia kiswahili akakisoma utadhani anajua kitu. Wakoloni walikipanga kiswahili bana. Wale wa lingua nadhani tunaelewana.
Ni moja ya lugha zinazofundishika kiundani. Luhga nyingi ukiondoa ya malkia na baadhi ya luhga za ulaya, ukianza kujifunza unaanza na irabu kama siyo consonati then unaanza kutiririka na maneno. Huwezi kuzama deep kama kiswahili mpaka kwenye ma-adjustebo na ma-molankoyi huko.
Mkoloni ndiyo alikiunda kiswahili ili kifundishike. Na alianza kukifundisha upya. Na kwa wamatumbi ilikuwa ni lugha mpya. Kwenye kuandika ndiyo walianza kujifunza upya kabisaaaa, kama wameletewa kichina. Kumbuka kiswahili cha mwanzo kwenye maandishi kilitumia alphabeti za kiarabu.
Na kwa taarifa tu, wajumbe wa baraza la kiswahili kutoka Congo. Walijitoa kwenye baraza la kiswahili la Afrika mashariki na kati baada ya Shaban Robert kuchaguliwa kuwa mjumbe wa baraza la kiswahili. Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kiswahili kulegalega fasi ya Congo. Ikumbukwe kuwa baraza la kiswahili enzi za mkoloni lilikuwa na wazungu watupu, hasa makasisi wa kimisionari. Wawakilishi wa kutoka Congo hawakuamini kama mtu mweusi anaweza kuwa mtaalamu wa kiswahili, hivyo walipinga uteuzi wa Shaban Robert na wakajitoa.
Mafather wa kimissionari ndio waliandika hizi kamusi zote za kiswahili. Kiufupi wao ndio walizitunga. Na kiswahili kilitengenezwa, kilisimamiwa na mkoloni mpaka kikakaza na kikasimama. Mkoloni alikuwa anaenda kufuta mpaka lahaja zote na kubaki na moko. Toka Lamu mpaka Kampala kiswahili ni lahaja moja tu, sikumbuki alichagua lahaja ipi, ila alitaka akomae na lahaja moja tu. Na mkoloni angeweza coz alishaweza.
Kwakusema hayo basi, itoshe kusema 'ajabu ya mvita kuota mvinde'. Hichi kiswhili tunachojipigia upatu leo.....ni zao halali la mkoloni. Na nachelea kusema mnyonge myongeni laki credit zake tumpe.

Wakatabahu
Infopaedia.
Hii sasa shule🤔🤔🤔
 
Nime enjoy kupata elimu hii adhimu [emoji4]
 
Bajeti nikubwa Sana mkuu ,kuwapa wataalamu walugha zandani watutaftie misamiati ,kwann tuhangaikie lugha na hospitalini hakuna dawa ,bwashee
 
Nadhani hakuna aliyebisha juu ya uliyoyaandika. Sasa nenda uingereza halafu zungumza kiswahili, maana kwa maelezo yako wao ndio wamekitunga. Halafu tupe mrejesho.
Mkuu .... kuna point kubwa hujai-cuptcher. Bila mkoloni Kiswahili kisingekuwa lugha ya Taifa. Na kama mkoloni angeendelea, kiswahili kingekuwa ni lugha ya Africa. Tulipoachiwa baraza la kiswahili, mambo yakaanza kwenda kombo. Kwanza baraza lenyewe lilivunjika na kila nchi ya Africa mashariki na kati ikawa na baraza lake. Kiswahili kikaanza kuchukua njia anuwai. By the way, hakuna mahali nimeandika wakoloni wametunga Kiswahi. Labda kama kuna kamusi mpya inafasiri neno kurasimisha kama kutunga.
Mkuu....kuna proganda nyingi sana juu ya chimbuko la kiswahili. Na hiyo ndo hupelekea uelewa kama wa kwako na kuanzisha mazungumzo ya mrengo potofu kama huu. Ndio maana kwaufupi nikajaribu kuhadidhia mapito ya kiswahili.
 
Mbona nimeshakwambia hayo hakuna aliyebisha, au we umeona kuna mtu amekubishia? Kikubwa umekiri hawakutunga kiswahili, basi tuendelee kujivunia kiswahili chetu na ifike mahali tuone aibu hasa nchi za waafrika wenzetu, kutumia kugha za wakoloni kwenye mambo hata yasiyo ya kisayansi. Hoja ni hiyo tu, mtu akitoa hoja mjitahidi kulegeza ubongo kidogo na kuichukua at face value badala ya kuanza kumwaga data nyingi sana irrelevant.
 
Umesahau kuwa kiswahili kina asili ya uarabuni
Sio kweli kiswahili hakina asili ya uarabuni Bali kina asili ya mwambao ilikua lugha ya biashara ambayo iliweza kuunganisha watu wengi wafanyabiashara wa utumwa, pembe za ndovu n k walikua wanatumia kiswahili kwenye kuwasiliana

Mjeruman ndo alikipa kipaumbele sana kipindi Cha utawala wake sababu alivutiwa na jinsi ilivyokua inaunganisha watu,
 
Hujui
 
Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana.

Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala kama hayo.

Niwapongeze Kenya kwa kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa lao, sina hakika juu ya Uganda,DRC kama wanampango juu ya kufanya kiswahili lugha ya mataifa yao. Bila kuisahau mikoa ya kaskazini magharibi mwa Tz, ya Rwanda na Burundi.

Hebu oneni hata aibu jamani, seriously..

we jamaa nimekukubali bure
“Kim Jom Un aliwai sema pale tu wafrica watavoanza kufuata Tamaduni zao ndyo wataendelea”
 
Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana.

Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala kama hayo.

Niwapongeze Kenya kwa kukifanya kiswahili kuwa lugha ya taifa lao, sina hakika juu ya Uganda,DRC kama wanampango juu ya kufanya kiswahili lugha ya mataifa yao. Bila kuisahau mikoa ya kaskazini magharibi mwa Tz, ya Rwanda na Burundi.

Hebu oneni hata aibu jamani, seriously..

Bora hata rwanda inatumia Kinyarwanda

nchi kama DRC
camerroon
bukina faso
na zingine francophone

yaan aibu naona mm!!
hafu zinawasomi !! naonaga n nchi za matahira
 
Hata Marekani (USA) wanatumia lugha ya kikoloni. Btw Kiswahili nacho asili yake ni utumwa/ukoloni. Hili si suala, muhimu ni kuwa na lingua franca inayowezesha ushirikiano katika nyanja zote.

Marekani wote wahamiaji Native in red indian so wale hawakua na indigenous language

lakin wa USA English !! ambayo inatambulika dunian kuliko hata Uk english
 
Kwa asili yetu ki Africa kutokana na kuwa na ethnic groups ambazo zilikuwa (zipo) very diverse ilifaa kupata lugha moja ya kuunganisha watu.

Kwakuwa imagine sasa nchi ina zaidi ya ethnic groups 200+ na kila mtu aongee lugha yake hapo pasingekalika. Hata kuleta umoja wa kitaifa isingekuwa rahisi.

huna hoja !!! Ni rahisi sana kuwa na lugha moja kumbuka n maneno mengi yanaingiliana kuna option nyingi za kuja na lugha moja!!
hoja yako iko weak sana!!
 
Hicho ulichokiongea hapo umekiongea kirahisi sana na umesahau kama ni kitu cha kimchakato. Umesahau kama katika jamii yako anaeongea lugha hiyo unayoita ya mkoloni ndio anaonekana mstaarabu aliyestaarabika kuliko anaengea lugha ya asili? By the way, kwani sisi lugha yetu ya asili ni kiswahili au vilugha vyetu kama kimakonde, kijita, kichaga na kadharika? Kwahiyo na sisi tuone aibu sio?

Kiswahili s lugha ya mkoloni kwaiyo
kama unaona Aibu ona mwenyewe
 
Mkuu.. kuna kipindi tulikuwa tunatafuta soko la matunda katika ma supermarkt hapa DAR likiwepo tunda letu pendwa lililobeba Biashara yetu strawberry [emoji526] .. mkuu huko masupermarkt wamejaa wahindi na wazungu mkuu.. kama haujui KINGE- ung’eng’e mkuu hata wa kuzugia haufanyi biashara .. tukubali tukatae kuna umuhimu wa kujifunza hii lugha hata kama haitakuwa lugha yetu ya taifa MKUU

English ukiacha kua n Lugha ya mkolon bali n lugha ya biashara international
 
Tunawekana sawa tu. Hata kiswahili chenyewe aliyekirasimisha ni mkoloni. Yeye ndiyo alikitoa kwenye alphabeti za kiarabu na kukileta kwenye a, e, i, o,u na konsonati. Yeye ndiye alikinyambua na kutengenezea aina saba za maneno.....sijui nomino, vidamshi, vihangaya etc. Mkoloni alikopy kutoka kiingereza "seven parts of speech". Na alihakikisha makosa yaliyotokea kwenye kiinngereza, hayajirudii kwenye kiswahili. Mojawapo ya kosa kubwa la Engish waliloepuka ni neno kuandikwa tofauti na kutamkwa tofauti. Mfano, unaandika 'road' unatamka 'rod'. Huu ujinga waliufuta kwenye kiswahili. Ndiyo maana mzungu akija leo unaweza ukamuandikia kiswahili akakisoma utadhani anajua kitu. Wakoloni walikipanga kiswahili bana. Wale wa lingua nadhani tunaelewana.
Ni moja ya lugha zinazofundishika kiundani. Luhga nyingi ukiondoa ya malkia na baadhi ya luhga za ulaya, ukianza kujifunza unaanza na irabu kama siyo consonati then unaanza kutiririka na maneno. Huwezi kuzama deep kama kiswahili mpaka kwenye ma-adjustebo na ma-molankoyi huko.
Mkoloni ndiyo alikiunda kiswahili ili kifundishike. Na alianza kukifundisha upya. Na kwa wamatumbi ilikuwa ni lugha mpya. Kwenye kuandika ndiyo walianza kujifunza upya kabisaaaa, kama wameletewa kichina. Kumbuka kiswahili cha mwanzo kwenye maandishi kilitumia alphabeti za kiarabu.
Na kwa taarifa tu, wajumbe wa baraza la kiswahili kutoka Congo. Walijitoa kwenye baraza la kiswahili la Afrika mashariki na kati baada ya Shaban Robert kuchaguliwa kuwa mjumbe wa baraza la kiswahili. Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kiswahili kulegalega fasi ya Congo. Ikumbukwe kuwa baraza la kiswahili enzi za mkoloni lilikuwa na wazungu watupu, hasa makasisi wa kimisionari. Wawakilishi wa kutoka Congo hawakuamini kama mtu mweusi anaweza kuwa mtaalamu wa kiswahili, hivyo walipinga uteuzi wa Shaban Robert na wakajitoa.
Mafather wa kimissionari ndio waliandika hizi kamusi zote za kiswahili. Kiufupi wao ndio walizitunga. Na kiswahili kilitengenezwa, kilisimamiwa na mkoloni mpaka kikakaza na kikasimama. Mkoloni alikuwa anaenda kufuta mpaka lahaja zote na kubaki na moko. Toka Lamu mpaka Kampala kiswahili ni lahaja moja tu, sikumbuki alichagua lahaja ipi, ila alitaka akomae na lahaja moja tu. Na mkoloni angeweza coz alishaweza.
Kwakusema hayo basi, itoshe kusema 'ajabu ya mvita kuota mvinde'. Hichi kiswhili tunachojipigia upatu leo.....ni zao halali la mkoloni. Na nachelea kusema mnyonge myongeni laki credit zake tumpe.

Wakatabahu
Infopaedia.

mkoloni gan ww !! kuna mkoloni alikua naongea kiswahili zaidi ya wafanya biashara wa asia n wabantu??
 
kiswahili n bantu language ebu tutajie nchi za kiarabu zinazoongea kiswahili
oman yenyewe wanaongea kiarabu n kiswahili cha kuibia coz waliishi pwan ya africa mashariki
Safi sana, kama mimi nikivyomwambia jamaa anianbie ni waingereza wangapi huko UK wanazungumza kiswahili, maana alitaka kudai wao ndio wamekipangilia na wanahaki nacho 😂😂
 
Mbona unatumia teknolojia ya kikoloni? Na umevaa nguo za kikoloni?

hamna teknologia ya mkoloni ww ebu kasafishe akili yako!!
science n technology havina mwenyewe ndo maana saizi unakuta china imeyapiku mataifa yote ya ulaya kwene hyo nyanja
 
kiswahili n bantu language ebu tutajie nchi za kiarabu zinazoongea kiswahili
oman yenyewe wanaongea kiarabu n kiswahili cha kuibia coz waliishi pwan ya africa mashariki
Maneno mengi ya Kiswahili yana asili ya kiarabu, huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom