Kwanini nchi nyingi za Kiislamu huwa kwenye migogoro?

Acha malalamiko , vita ni maumbile ya binadamu havina tatizo kiasili, wewe jadili hao walio ruhusu ushoga kuwa ni jambo lenye kufaa
Marekani ukifikisha miaka 18 unaenda dukani kununua bunduki. Bunduki zinauzwa dukani km nguo ila huwezi kuona kuna vikundi vya kigaidi vinaanzishwa.
Ona Libya walivyochinjana km kuku hadi huruma halafu wanajiita waislamu ambao wapo kwenye dini ya haki.
Waarabu wamegundua nini kwenye hii dunia?
 
Nchi nyingi za Kiislamu hazina furaha na zimenaswa katika vita kwa sababu ya Uislamu. Lakini hawakubali.

1. Hakuna mgawanyiko wa dini na serikali. Dini inakuwa serikali katika nchi nyingi za Kiislamu.

2. Hakuna uhuru wa kusema, uhuru wa dini na uhuru wa vyombo vya habari katika nchi za Kiislamu.

3. Uislamu unawafanya wanawake kuwa duni kuliko wanaume. Wanawake wa Kiislamu hawana fursa yoyote isipokuwa kulea watoto. Wanawake wengi wa Kiislamu hawafanyi kazi na hawajawezeshwa kiuchumi. Wanawake wa Kiislamu wanabaguliwa sana. Wanawake wa Kiislamu wanapaswa kujifunika niqab au burqa.

4. Dini ndogo huteswa katika nchi za Kiislamu. Wasio Waislamu wanachukuliwa kama raia wa daraja la pili katika nchi nyingi za Kiislamu. Asilimia ya Wahindu imepungua nchini Pakistan na Bangladesh. Idadi ya Wakristo imepungua katika Iraq, Syria, Misri, Palestina na Uturuki.

5. Nchi za Kiislamu ni za kiimla. Wanakuwa wanatawaliwa na dikteta na hakuna demokrasia.

6. Maandiko ya dini ya Kiislamu (Qur'an na Hadith) yamejaa vifungu vya vurugu. Qur'ani inaunga mkono kupigana na wasio Waislamu, mitala, kulipiza kisasi. Kwa hivyo nchi za Kiislamu zinakabiliwa na vurugu na ugaidi.

7. Nchi za Kiislamu haziwekezi katika elimu, sayansi na teknolojia vya kutosha bali huwekeza katika ujenzi wa misikiti na shule za kidini.

8. Waislamu huswali mara 5 kwa siku na kufunga mwezi mmoja wakati wa Ramadhani. Maombi ya lazima ni upotevu wa muda. Tija hupungua kutokana na maombi ya lazima na kufunga. Zanzibar tu ukila kipindi hicho, unachapwa fimbo, hata kama wewe si wa imani yao.

9. Uislamu haukubali usasa. Uislamu hauendi na wakati. Waislamu bado wamekwama katika fikra za karne ya 7 na wanadhani kuwa Uislamu ni kamili.

10. Waislamu wana viwango vya juu vya kuzaliwa. Idadi ya Waislamu inaongezeka lakini vile vile tija haiendani na ukuaji wa idadi ya watu.

11. Waislamu hawajatoa wasomi wazuri, wanasayansi, wasomi katika karne nyingi. Waislamu wameshinda takriban tuzo 10 za Nobel zikilinganishwa na tuzo 120 za Nobel zilizonyakuliwa na Wayahudi ingawa idadi ya Waislamu ni mara kumi (bilioni 1.5) ikilinganishwa na idadi ya Wayahudi.

12. Wanachofanya wao huwa sawa, ila wakifanya wengine huwa shida. Mfano mwaka 2020, Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan aliamuru kanisa la kale la Orthodox, jumba la makumbusho la Kariye, kubadilishwa kuwa msikiti. Yaani aliamua tu hilo jumba ligeuzwe kuwa mahali pa ibada ya Waislamu. Kirahisi tu, wakifanyiwa wao hivyo, wataandamana Dunia nzima.

Uislam ni kama dini ya Vurugu
Mafundisho ya mudy almost yote ni toxic. Makobazi yanayojielewa ni machache sana.
 
Kitambi Chao kinasema akili ya mwanamke ni nusu ya mwanaume,ushahidi wa wanawake wawili ni sawa na ushahidi wa mwanaume mmoja . Ikitokea mwanamke ameshuhudia tukio la kihalifu akiwa peke yake (ubakaji,mauaji), ushahidi wake hauwezi pokelewa/kubaliwa kwenye Sharia court.
Wanasemaga huko jehanum wakazi wengi watakaoingia huko ni wanawake, waume watakuwa wanaburudika Jannah firdaus na bikra 72 karibu kabisa na Mudy.
 
Nchi za kiislam zimejaaliwa neema kubwa ya rasilimali mafuta lakini kwa bahati mbaya sana Hasidi kaingilia kati kumtoa inahitaji nguvu ya ziada.
Watu mnaposhaga, hili

Waislam walianza kupigana siku ambayo Muhammad alipokufa, Fatilia kisa cha Muanzilishi wa Ushia anaitwa Ally
 
Nchi nyingi za Kiislamu hazina furaha na zimenaswa katika vita kwa sababu ya Uislamu. Lakini hawakubali.

1. Hakuna mgawanyiko wa dini na serikali. Dini inakuwa serikali katika nchi nyingi za Kiislamu.

2. Hakuna uhuru wa kusema, uhuru wa dini na uhuru wa vyombo vya habari katika nchi za Kiislamu.

3. Uislamu unawafanya wanawake kuwa duni kuliko wanaume. Wanawake wa Kiislamu hawana fursa yoyote isipokuwa kulea watoto. Wanawake wengi wa Kiislamu hawafanyi kazi na hawajawezeshwa kiuchumi. Wanawake wa Kiislamu wanabaguliwa sana. Wanawake wa Kiislamu wanapaswa kujifunika niqab au burqa.

4. Dini ndogo huteswa katika nchi za Kiislamu. Wasio Waislamu wanachukuliwa kama raia wa daraja la pili katika nchi nyingi za Kiislamu. Asilimia ya Wahindu imepungua nchini Pakistan na Bangladesh. Idadi ya Wakristo imepungua katika Iraq, Syria, Misri, Palestina na Uturuki.

5. Nchi za Kiislamu ni za kiimla. Wanakuwa wanatawaliwa na dikteta na hakuna demokrasia.

6. Maandiko ya dini ya Kiislamu (Qur'an na Hadith) yamejaa vifungu vya vurugu. Qur'ani inaunga mkono kupigana na wasio Waislamu, mitala, kulipiza kisasi. Kwa hivyo nchi za Kiislamu zinakabiliwa na vurugu na ugaidi.

7. Nchi za Kiislamu haziwekezi katika elimu, sayansi na teknolojia vya kutosha bali huwekeza katika ujenzi wa misikiti na shule za kidini.

8. Waislamu huswali mara 5 kwa siku na kufunga mwezi mmoja wakati wa Ramadhani. Maombi ya lazima ni upotevu wa muda. Tija hupungua kutokana na maombi ya lazima na kufunga. Zanzibar tu ukila kipindi hicho, unachapwa fimbo, hata kama wewe si wa imani yao.

9. Uislamu haukubali usasa. Uislamu hauendi na wakati. Waislamu bado wamekwama katika fikra za karne ya 7 na wanadhani kuwa Uislamu ni kamili.

10. Waislamu wana viwango vya juu vya kuzaliwa. Idadi ya Waislamu inaongezeka lakini vile vile tija haiendani na ukuaji wa idadi ya watu.

11. Waislamu hawajatoa wasomi wazuri, wanasayansi, wasomi katika karne nyingi. Waislamu wameshinda takriban tuzo 10 za Nobel zikilinganishwa na tuzo 120 za Nobel zilizonyakuliwa na Wayahudi ingawa idadi ya Waislamu ni mara kumi (bilioni 1.5) ikilinganishwa na idadi ya Wayahudi.

12. Wanachofanya wao huwa sawa, ila wakifanya wengine huwa shida. Mfano mwaka 2020, Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan aliamuru kanisa la kale la Orthodox, jumba la makumbusho la Kariye, kubadilishwa kuwa msikiti. Yaani aliamua tu hilo jumba ligeuzwe kuwa mahali pa ibada ya Waislamu. Kirahisi tu, wakifanyiwa wao hivyo, wataandamana Dunia nzima.

Uislam ni kama dini ya Vurugu
Tatizo ni wale mabikira 72
 
Kwa kuongeza Uzito tu
1. Somalia
2. Sudan
3. Yemeni
4. Iraq
5. Syria
7. Libya
8. Misri
9. lebanon
10. Palestina
11. Bukinafaso
12. Mali
13. Gabon

Idikiteta hauleti amani kamwe
 
Chuki ,chuki,+ udini umekujaa pole sana hamna lolote ni udini tu unakutesa ukaamua uandike hayo vp kuhusu Congo , ilivokua Rwanda na Burundi mauwaji ya kimbari.kingine migogoro mingi ya nchi za kiislamu chanzo ni mmarekani na vibaraka wake unajua lakini chuki tu imekutawala.
Hujajibu hoja
 
. Uchumi wa Oman umekua kama Taiwan/korea/China na wakubwa wengine waliokuwa karibuni.

2. Nchi nyingi za kiisilamu kama Qatar UAE, Brunei zipo juu kwenye Pato la mtu mmoja mmoja Duniani.
Qatar na UAR uislam wao umebaki kama symbolic tu includibg Dubai. Hapo kumejaa wamagharibi tupu na ndio wanamwaga pesa na uchumi humo.
 
Nilivyosoma Point Ya Kwanza Nikagundua Kuwa Mtoa Mada Hana Elimu Ya Kutosha Nchi Ya Kiislamu Inaongoza Na Serikal Ya Kiislamu Hyo Ndo Serikal Yake Au Mgawanyo Upi Unaongelea,serikal Ni Watu,unashindwa Kutofautisha Kati Ya Serikal Na Democracy.Pia Usipende Kuamin Unayoskia Kwenye Media.Nchi Yyte Itakayoenda Kinyume Na Marekani Lazima Kuwe Na Vita
 
Waarabu wanapenda sana vurugu na kuuana.
Ni rahisi sana kwenda kwenye nchi ya waislamu ukawachonganisha wakauana kwasababu wanaroho ya mauaji na chuki dhidi ya wengine. Mfano hai Libya
Nchi za kiislamu kuanzishwa kikundi cha kigaidi ni rahisi sana mfano Somalia, pakistan, Mali, Nigeria, Msumbiji, Iraq, Lebanon, Syria, Gaza, Sudan, Pakistan na Libya
Sema "Waislam" wanapenda vurugu na kuuana, wale Boko Haram siyo waarabu.
 
Nchi za kiislam zimejaaliwa neema kubwa ya rasilimali mafuta lakini kwa bahati mbaya sana Hasidi kaingilia kati kumtoa inahitaji nguvu ya ziada.

Halafu yalivyo majinga, hayo mafuta yaligunduliwa na teknolojia ya wazungu, yaani hao waislamu kazi ni kuvaa mikanzu tu huko.
 
Marekani ukifikisha miaka 18 unaenda dukani kununua bunduki. Bunduki zinauzwa dukani km nguo ila huwezi kuona kuna vikundi vya kigaidi vinaanzishwa.
Ona Libya walivyochinjana km kuku hadi huruma halafu wanajiita waislamu ambao wapo kwenye dini ya haki.
Waarabu wamegundua nini kwenye hii dunia?
Yule alie vamia shule kule US na kuua watoto alitumia fimbo? kiufupi US kuna kesi nyingi za mauaji kwasababu ya sheria hiyo ya watu kumiliki silaha, kuua ni kuua tu iwe kikundi au mtu mmoja, halafu kuhusu Libya hujui ni wakina Nani wamemtoa Gadafi? libya haikuwa na shida mpaka Ufaransa na genge lake walipo amua kumdhoofisha Gadafi ili mambo yao yaende, kulazimisha Maisha yao ya Magharibi kila kiongozi kuyafata akikataa anaanza kupewa majina mabaya
 
na wabantu kuuwawa kila siku na wazungu ila hilo hamulioni kwakuwa ni mzungu kafanya yake ni lini mutakuwa wakweli mutaacha kumkumbatia muuaji
 
Marekani ukifikisha miaka 18 unaenda dukani kununua bunduki. Bunduki zinauzwa dukani km nguo ila huwezi kuona kuna vikundi vya kigaidi vinaanzishwa.
Ona Libya walivyochinjana km kuku hadi huruma halafu wanajiita waislamu ambao wapo kwenye dini ya haki.
Waarabu wamegundua nini kwenye hii dunia?
Yaani wewe hujui kinacho endelea Duniani
Marekani ni moja ya Nchi inayo ongoza kwa uhalifu wa wananchi wao kuuana kwa kutumia silaha (ndani ya nchi) Uliza wanaokaa pale, ikipita muda bila mtu au watu kupiwa risasi na kufa shukuru Mungu. Pale marekani, mtu anaingia darasani anaua wanafunzi 10 baada ya siku mbili wala hutajua kuna kitu kilifanyika. OBama akajitahidi wabadilishe sheria ya umilikaji wa Silaha kupunguza mauaji ikamshinda
Marekani hawatangazi habari zao Mbaya; wameaminisha WAJINGA kuwa, ile ni Nchi ya Amani kitu ambacho sio kweli.

Vita nyingi kwenye hizi Nchi za Kiarabu ni propaganga za Marekani
Unaongelea Libya? Waliopropagate pale ni Marekani na hatimaye kuua Gadafi, wameiba mafuta wakaona mambo yameharibika/wameshindwa kuwaunganisha wamekimbia; Kwa ujinga wetu tunafikiri ni vita ya Waislamu/waafrica???
 
Nchi nyingi za Kiislamu hazina furaha na zimenaswa katika vita kwa sababu ya Uislamu. Lakini hawakubali.

1. Hakuna mgawanyiko wa dini na serikali. Dini inakuwa serikali katika nchi nyingi za Kiislamu.

2. Hakuna uhuru wa kusema, uhuru wa dini na uhuru wa vyombo vya habari katika nchi za Kiislamu.

3. Uislamu unawafanya wanawake kuwa duni kuliko wanaume. Wanawake wa Kiislamu hawana fursa yoyote isipokuwa kulea watoto. Wanawake wengi wa Kiislamu hawafanyi kazi na hawajawezeshwa kiuchumi. Wanawake wa Kiislamu wanabaguliwa sana. Wanawake wa Kiislamu wanapaswa kujifunika niqab au burqa.

4. Dini ndogo huteswa katika nchi za Kiislamu. Wasio Waislamu wanachukuliwa kama raia wa daraja la pili katika nchi nyingi za Kiislamu. Asilimia ya Wahindu imepungua nchini Pakistan na Bangladesh. Idadi ya Wakristo imepungua katika Iraq, Syria, Misri, Palestina na Uturuki.

5. Nchi za Kiislamu ni za kiimla. Wanakuwa wanatawaliwa na dikteta na hakuna demokrasia.

6. Maandiko ya dini ya Kiislamu (Qur'an na Hadith) yamejaa vifungu vya vurugu. Qur'ani inaunga mkono kupigana na wasio Waislamu, mitala, kulipiza kisasi. Kwa hivyo nchi za Kiislamu zinakabiliwa na vurugu na ugaidi.

7. Nchi za Kiislamu haziwekezi katika elimu, sayansi na teknolojia vya kutosha bali huwekeza katika ujenzi wa misikiti na shule za kidini.

8. Waislamu huswali mara 5 kwa siku na kufunga mwezi mmoja wakati wa Ramadhani. Maombi ya lazima ni upotevu wa muda. Tija hupungua kutokana na maombi ya lazima na kufunga. Zanzibar tu ukila kipindi hicho, unachapwa fimbo, hata kama wewe si wa imani yao.

9. Uislamu haukubali usasa. Uislamu hauendi na wakati. Waislamu bado wamekwama katika fikra za karne ya 7 na wanadhani kuwa Uislamu ni kamili.

10. Waislamu wana viwango vya juu vya kuzaliwa. Idadi ya Waislamu inaongezeka lakini vile vile tija haiendani na ukuaji wa idadi ya watu.

11. Waislamu hawajatoa wasomi wazuri, wanasayansi, wasomi katika karne nyingi. Waislamu wameshinda takriban tuzo 10 za Nobel zikilinganishwa na tuzo 120 za Nobel zilizonyakuliwa na Wayahudi ingawa idadi ya Waislamu ni mara kumi (bilioni 1.5) ikilinganishwa na idadi ya Wayahudi.

12. Wanachofanya wao huwa sawa, ila wakifanya wengine huwa shida. Mfano mwaka 2020, Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan aliamuru kanisa la kale la Orthodox, jumba la makumbusho la Kariye, kubadilishwa kuwa msikiti. Yaani aliamua tu hilo jumba ligeuzwe kuwa mahali pa ibada ya Waislamu. Kirahisi tu, wakifanyiwa wao hivyo, wataandamana Dunia nzima.

Uislam ni kama dini ya Vurugu
Nyinyi ambao mpo huru ndio uhuru umepitiliza mpk mnaamua mtumie uhuru kuoana wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom