Kwanini nchi nyingi za Kiislamu huwa kwenye migogoro?

Acha malalamiko , vita ni maumbile ya binadamu havina tatizo kiasili, wewe jadili hao walio ruhusu ushoga kuwa ni jambo lenye kufaa
Marekani ukifikisha miaka 18 unaenda dukani kununua bunduki. Bunduki zinauzwa dukani km nguo ila huwezi kuona kuna vikundi vya kigaidi vinaanzishwa.
Ona Libya walivyochinjana km kuku hadi huruma halafu wanajiita waislamu ambao wapo kwenye dini ya haki.
Waarabu wamegundua nini kwenye hii dunia?
 
Mafundisho ya mudy almost yote ni toxic. Makobazi yanayojielewa ni machache sana.
 
Wanasemaga huko jehanum wakazi wengi watakaoingia huko ni wanawake, waume watakuwa wanaburudika Jannah firdaus na bikra 72 karibu kabisa na Mudy.
 
Nchi za kiislam zimejaaliwa neema kubwa ya rasilimali mafuta lakini kwa bahati mbaya sana Hasidi kaingilia kati kumtoa inahitaji nguvu ya ziada.
Watu mnaposhaga, hili

Waislam walianza kupigana siku ambayo Muhammad alipokufa, Fatilia kisa cha Muanzilishi wa Ushia anaitwa Ally
 
Tatizo ni wale mabikira 72
 
Kwa kuongeza Uzito tu
1. Somalia
2. Sudan
3. Yemeni
4. Iraq
5. Syria
7. Libya
8. Misri
9. lebanon
10. Palestina
11. Bukinafaso
12. Mali
13. Gabon


Idikiteta hauleti amani kamwe
 
Hujajibu hoja
 
. Uchumi wa Oman umekua kama Taiwan/korea/China na wakubwa wengine waliokuwa karibuni.

2. Nchi nyingi za kiisilamu kama Qatar UAE, Brunei zipo juu kwenye Pato la mtu mmoja mmoja Duniani.
Qatar na UAR uislam wao umebaki kama symbolic tu includibg Dubai. Hapo kumejaa wamagharibi tupu na ndio wanamwaga pesa na uchumi humo.
 
Nilivyosoma Point Ya Kwanza Nikagundua Kuwa Mtoa Mada Hana Elimu Ya Kutosha Nchi Ya Kiislamu Inaongoza Na Serikal Ya Kiislamu Hyo Ndo Serikal Yake Au Mgawanyo Upi Unaongelea,serikal Ni Watu,unashindwa Kutofautisha Kati Ya Serikal Na Democracy.Pia Usipende Kuamin Unayoskia Kwenye Media.Nchi Yyte Itakayoenda Kinyume Na Marekani Lazima Kuwe Na Vita
 
Sema "Waislam" wanapenda vurugu na kuuana, wale Boko Haram siyo waarabu.
 
Nchi za kiislam zimejaaliwa neema kubwa ya rasilimali mafuta lakini kwa bahati mbaya sana Hasidi kaingilia kati kumtoa inahitaji nguvu ya ziada.

Halafu yalivyo majinga, hayo mafuta yaligunduliwa na teknolojia ya wazungu, yaani hao waislamu kazi ni kuvaa mikanzu tu huko.
 
Yule alie vamia shule kule US na kuua watoto alitumia fimbo? kiufupi US kuna kesi nyingi za mauaji kwasababu ya sheria hiyo ya watu kumiliki silaha, kuua ni kuua tu iwe kikundi au mtu mmoja, halafu kuhusu Libya hujui ni wakina Nani wamemtoa Gadafi? libya haikuwa na shida mpaka Ufaransa na genge lake walipo amua kumdhoofisha Gadafi ili mambo yao yaende, kulazimisha Maisha yao ya Magharibi kila kiongozi kuyafata akikataa anaanza kupewa majina mabaya
 
Well said.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
na wabantu kuuwawa kila siku na wazungu ila hilo hamulioni kwakuwa ni mzungu kafanya yake ni lini mutakuwa wakweli mutaacha kumkumbatia muuaji
 
Yaani wewe hujui kinacho endelea Duniani
Marekani ni moja ya Nchi inayo ongoza kwa uhalifu wa wananchi wao kuuana kwa kutumia silaha (ndani ya nchi) Uliza wanaokaa pale, ikipita muda bila mtu au watu kupiwa risasi na kufa shukuru Mungu. Pale marekani, mtu anaingia darasani anaua wanafunzi 10 baada ya siku mbili wala hutajua kuna kitu kilifanyika. OBama akajitahidi wabadilishe sheria ya umilikaji wa Silaha kupunguza mauaji ikamshinda
Marekani hawatangazi habari zao Mbaya; wameaminisha WAJINGA kuwa, ile ni Nchi ya Amani kitu ambacho sio kweli.

Vita nyingi kwenye hizi Nchi za Kiarabu ni propaganga za Marekani
Unaongelea Libya? Waliopropagate pale ni Marekani na hatimaye kuua Gadafi, wameiba mafuta wakaona mambo yameharibika/wameshindwa kuwaunganisha wamekimbia; Kwa ujinga wetu tunafikiri ni vita ya Waislamu/waafrica???
 
Nyinyi ambao mpo huru ndio uhuru umepitiliza mpk mnaamua mtumie uhuru kuoana wenyewe kwa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…